Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ni mwendo wa kutapika nyongo.. Alianza Diallo ... Nyongo yake imewauguza sana haikuwa diluted kama hiiMNEC Haji Jumaa amesema katika kipindi chake cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Dr. Bashiru, Halmashauri kuu ya CCM haijawahi kukaa kwa lengo la kuielekeza Serikali bali walikaa kupokea maelekezo ya Serikali. Ameongeza kusema Halmashauri Kuu ilikuwa rubber stamp tu ya maagizo ya Serikali.
Chanzo: Darmpya Blog
Sent using Jamii Forums mobile app