MBUNGE wa Mvumi na Mjumbe wa NEC ya CCM Taifa, Livingstone Lusinde maarufu Kibaji ametajwa kushinikiza vikao vya NEC ya CCM kuwa Chama kimfukuze Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina.
Lusinde anadaiwa kuvishawishi vikao vya chama kwamba Mpina hafai kuendelea kubaki CCM kutokana na msimamo wake wa kutaka waliotajwa kwenye ripoti ya CAG wachukuliwe hatua, pia msimamo aliouweka kwenye suala la Mkataba wa Bandari na DP World.
Taarifa za uhakika Lusinde ndiye mbunge pekee aliyesimama kwenye vikao vya NEC na kutaka Mpina afukuzwe CCM.
Wajumbe wa NEC wengine ambao ni mawaziri ni pamoja na Hussein Bashe, Prof. Makame Mbarawa, Dk. Mwigulu Nchemba, January Makamba, Nape Nauye, Dk. Ashatu Kijaji, Angela Kairuki, Dk. Angelina Mabula.