Tetesi: MNEC Kibajaji ashinikiza CCM imfukuze uanachama Luhaga Mpina

MBUNGE wa Mvumi na Mjumbe wa NEC ya CCM Taifa, Livingstone Lusinde maarufu Kibaji ametajwa kushinikiza vikao vya NEC ya CCM kuwa Chama kimfukuze Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina.

Lusinde anadaiwa kuvishawishi vikao vya chama kwamba Mpina hafai kuendelea kubaki CCM kutokana na msimamo wake wa kutaka waliotajwa kwenye ripoti ya CAG wachukuliwe hatua, pia msimamo aliouweka kwenye suala la Mkataba wa Bandari na DP World.

Taarifa za uhakika Lusinde ndiye mbunge pekee aliyesimama kwenye vikao vya NEC na kutaka Mpina afukuzwe CCM.

Wajumbe wa NEC wengine ambao ni mawaziri ni pamoja na Hussein Bashe, Prof. Makame Mbarawa, Dk. Mwigulu Nchemba, January Makamba, Nape Nauye, Dk. Ashatu Kijaji, Angela Kairuki, Dk. Angelina Mabula.

Jimbo lililomchagua wana hasara. Kama mbunge wao yuko busy with personal issues kama hizi
 
Mimi binafsi sikumpenda Luhaga Mpina toka toka apime samaki aliye tsyari kuliwa, na rula kwa mikono michafu kule bungeni.

Hata hivyo mawazo ya kumvua uanachama kwa vile ansikosoa seriksli ni ya kijinga kabisa.

Akili za Kibajaji zinamtosha yeye na mke wake.
Ni muhimu kukubali kwamba watu wana fikra na akili tofauti.
Mpina ana fikra ambazo zikielekea kwenye jambo moja hafikirii jingine, lakini anahitajika kwenye chama kuliko wanaokubaliana na kila jambo.
Chama chetu lazima kichemke ndani kwa ndani vinginevyo kinaonekana cha majuha.
Lazima kumeintain system of checks and balances, ambayo Mpina na Balozi Karume wanaifanya. Hawatakiwi kufukuzwa, wajadiliwe warekebishwe na chama kijirejebishe.
 
Hivi historia ya kielimu ya Kibajaji hua ikoje? Mbona ni kama hajawahi kuongea chochote kinacho ashiria kuwahi kukaa darasani
 
Hicho kikao kije na majibu ya uhakika kuhusu tanganyika na mkataba wa hovyo wa dpw.
kula chuma icho!
ccm_mtandaoni_20230709_1.jpg
 
MBUNGE wa Mvumi na Mjumbe wa NEC ya CCM Taifa, Livingstone Lusinde maarufu Kibaji ametajwa kushinikiza vikao vya NEC ya CCM kuwa Chama kimfukuze Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina.

Lusinde anadaiwa kuvishawishi vikao vya chama kwamba Mpina hafai kuendelea kubaki CCM kutokana na msimamo wake wa kutaka waliotajwa kwenye ripoti ya CAG wachukuliwe hatua, pia msimamo aliouweka kwenye suala la Mkataba wa Bandari na DP World.

Taarifa za uhakika Lusinde ndiye mbunge pekee aliyesimama kwenye vikao vya NEC na kutaka Mpina afukuzwe CCM.

Wajumbe wa NEC wengine ambao ni mawaziri ni pamoja na Hussein Bashe, Prof. Makame Mbarawa, Dk. Mwigulu Nchemba, January Makamba, Nape Nauye, Dk. Ashatu Kijaji, Angela Kairuki, Dk. Angelina Mabula.
Huko ccm kuna watu wa ajabu
 
Huko ccm kuna watu wa ajabu
Hapana.

Ni lazima uelewe uwakilishi katika kamati hizo ukoje.
Hapa hakuna maajabu yoyote yaliyofanyika.

Ni mwendelezo ule ule unaofahamika vizuri sasa; kwamba maslahi ya Tanganyika yanaamuliwa na watu ambao wao maslahi yao yako kwingine.

Kuna lipi la ajabu hapo!

Isipokuwa, kinachotakiwa kuwatia hofu kubwa hawa watu, ni kuelewa kwamba wananchi wa Tanganyika sasa ujinga huo wameutambua vizuri, kwa hiyo hawatauvumilia tena.
 
Ni muhimu kusikiliza
 
MBUNGE wa Mvumi na Mjumbe wa NEC ya CCM Taifa, Livingstone Lusinde maarufu Kibaji ametajwa kushinikiza vikao vya NEC ya CCM kuwa Chama kimfukuze Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina.

Lusinde anadaiwa kuvishawishi vikao vya chama kwamba Mpina hafai kuendelea kubaki CCM kutokana na msimamo wake wa kutaka waliotajwa kwenye ripoti ya CAG wachukuliwe hatua, pia msimamo aliouweka kwenye suala la Mkataba wa Bandari na DP World.

Taarifa za uhakika Lusinde ndiye mbunge pekee aliyesimama kwenye vikao vya NEC na kutaka Mpina afukuzwe CCM.

Wajumbe wa NEC wengine ambao ni mawaziri ni pamoja na Hussein Bashe, Prof. Makame Mbarawa, Dk. Mwigulu Nchemba, January Makamba, Nape Nauye, Dk. Ashatu Kijaji, Angela Kairuki, Dk. Angelina Mabula.
Duh nashindwa kuamini kwamba ccm imefika hapo hadi nione clip ya video. Mtamfukuza mtu uccm ila hamuwezi kumfukuza utanzania. Mpina ndio mbunge yuko na msimamo sahihi sio wengi manyumbu na machawa tu.
 
Asubiri na yeye huko jimboni wanatupa kuleeeee
 
MBUNGE wa Mvumi na Mjumbe wa NEC ya CCM Taifa, Livingstone Lusinde maarufu Kibaji ametajwa kushinikiza vikao vya NEC ya CCM kuwa Chama kimfukuze Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina.

Lusinde anadaiwa kuvishawishi vikao vya chama kwamba Mpina hafai kuendelea kubaki CCM kutokana na msimamo wake wa kutaka waliotajwa kwenye ripoti ya CAG wachukuliwe hatua, pia msimamo aliouweka kwenye suala la Mkataba wa Bandari na DP World.

Taarifa za uhakika Lusinde ndiye mbunge pekee aliyesimama kwenye vikao vya NEC na kutaka Mpina afukuzwe CCM.

Wajumbe wa NEC wengine ambao ni mawaziri ni pamoja na Hussein Bashe, Prof. Makame Mbarawa, Dk. Mwigulu Nchemba, January Makamba, Nape Nauye, Dk. Ashatu Kijaji, Angela Kairuki, Dk. Angelina Mabula.
Wakimfukuza hao wagogo wataishije wakati wanategemea mali za kutoka kwake?
 
Mimi binafsi sikumpenda Luhaga Mpina toka apime samaki aliye tayari kuliwa, na rula kwa mikono michafu kule bungeni.

Hata hivyo mawazo ya kumvua uanachama kwa vile anaikosoa serikali ni ya kijinga kabisa.

Akili za Kibajaji zinamtosha yeye na mke wake.
Kumvua uanachama ni kwenda mbali sana. Mpina anawapa changamoto CCM anawafanya wasibweteke. Wapo wengi mle ukumbini na ni rahisi wakajidanganya kuwa hawakosei chochote.
 
Back
Top Bottom