Tetesi: MNEC Kibajaji ashinikiza CCM imfukuze uanachama Luhaga Mpina

Jimbo lililomchagua wana hasara. Kama mbunge wao yuko busy with personal issues kama hizi
 
Ni muhimu kukubali kwamba watu wana fikra na akili tofauti.
Mpina ana fikra ambazo zikielekea kwenye jambo moja hafikirii jingine, lakini anahitajika kwenye chama kuliko wanaokubaliana na kila jambo.
Chama chetu lazima kichemke ndani kwa ndani vinginevyo kinaonekana cha majuha.
Lazima kumeintain system of checks and balances, ambayo Mpina na Balozi Karume wanaifanya. Hawatakiwi kufukuzwa, wajadiliwe warekebishwe na chama kijirejebishe.
 
Hivi historia ya kielimu ya Kibajaji hua ikoje? Mbona ni kama hajawahi kuongea chochote kinacho ashiria kuwahi kukaa darasani
 
Huko ccm kuna watu wa ajabu
 
Huko ccm kuna watu wa ajabu
Hapana.

Ni lazima uelewe uwakilishi katika kamati hizo ukoje.
Hapa hakuna maajabu yoyote yaliyofanyika.

Ni mwendelezo ule ule unaofahamika vizuri sasa; kwamba maslahi ya Tanganyika yanaamuliwa na watu ambao wao maslahi yao yako kwingine.

Kuna lipi la ajabu hapo!

Isipokuwa, kinachotakiwa kuwatia hofu kubwa hawa watu, ni kuelewa kwamba wananchi wa Tanganyika sasa ujinga huo wameutambua vizuri, kwa hiyo hawatauvumilia tena.
 
Ni muhimu kusikiliza
 
Duh nashindwa kuamini kwamba ccm imefika hapo hadi nione clip ya video. Mtamfukuza mtu uccm ila hamuwezi kumfukuza utanzania. Mpina ndio mbunge yuko na msimamo sahihi sio wengi manyumbu na machawa tu.
 
Asubiri na yeye huko jimboni wanatupa kuleeeee
 
Wakimfukuza hao wagogo wataishije wakati wanategemea mali za kutoka kwake?
 
Kumvua uanachama ni kwenda mbali sana. Mpina anawapa changamoto CCM anawafanya wasibweteke. Wapo wengi mle ukumbini na ni rahisi wakajidanganya kuwa hawakosei chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…