Bright Smart
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 643
- 312
Kwa wale mlioangalia kipindi cha NIRVANA EATV, yaani huyu demu hata kama mawazo yake ni kuongea kiingereza ndo aonekane bab' kubwa, nadhani ingekua safi kama angepiga msasa kizungu chake kabla ya kukimwaga kwenye TV show, maana alivyokomalia hizo "it's like, mara I sink ndoI think, mara zen ndo then" mnh kama vp ni bora angeongea kiswahili tu.