Mnh!! huyu demu Jack Patrick, hii lugha anayoongea kwenye Nirvana EATV dah kitukooooo...

Mnh!! huyu demu Jack Patrick, hii lugha anayoongea kwenye Nirvana EATV dah kitukooooo...

hiyo inaitwa 'code mixing'inaruhusiwa ila watangazaji wengi wa bongo wanakosea sana katika kutamka matamshi tena ya lugha hizo za kiingereza na kiswahili.
 
Back
Top Bottom