Bright Smart
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 643
- 312
"Huwa napendelea chips zilikonfyuziwa na mayai" Chezea mastaa wa bongo..!!?
zilikonfyuziwa na mayai, ha hahaaaa.
kama umemmaindi sema nikurushie namba yakeKwa wale mlioangalia kipindi cha NIRVANA EATV, yaani huyu demu hata kama mawazo yake ni kuongea kiingereza ndo aonekane bab' kubwa, nadhani ingekua safi kama angepiga msasa kizungu chake kabla ya kukimwaga kwenye TV show, maana alivyokomalia hizo "it's like, mara I sink ndoI think, mara zen ndo then" mnh kama vp ni bora angeongea kiswahili tu.
kama umemmaindi sema nikurushie namba yake
Hata "continental" Europeans (Germans, French etc) wanaposema Kiingereza kuna wanaosema kwa accents zao zenye hizo hizo "I sink" na "zen".
Pengine anaongea Kiingereza kwa accent ya Kifaransa au Kijerumani 🙂
[video=youtube_share;gh5xu35bAxA]http://youtu.be/gh5xu35bAxA[/video]
"Huwa napendelea chips zilikonfyuziwa na mayai" Chezea mastaa wa bongo..!!?
inawezekana yuko fit kifaransa basi, ila isije kua kakaa siku moja tu akakumaanishia kwamba alishawahi kuishi France, si unajua mastaa wa bongo!!Aliniambia alishawah kukaa france 🙄😱