Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

kiukweli sioni umuhmu wa muungano,Kama nchi ni moja ,why wawe na ubalos nje .si tuwaache waendelee na maisha yao,wakiuzwa ughaibuni na watt wao ,Basi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
si nilisikia juzi wazanzibar kuanzia sasaivi watapewa asilimia kubwa kweli ya ajira kuliko wabara, tena hukuhuku bara? yaani wao wilaya yenye watu hata milioni 3 hawajafika wanataka wapate ugali sawa kwenye sahani na nchi yenye watu zaidi ya 55 million. kwanini tunawalea sana hivi? Watanganyika tutaamka lini?
 
binafsi najua hili litaibuka tu kwenye kampeni za uchaguzi 2025, ni madukuduku yamekaa mioyoni mwa wabara miaka mingi, na ukweli ni kwamba pamoja na kwamba wazenji wanalialia kila wakati, kwa jinsi walivyojiwekeza huku bara, muungano ukifa wao watapata hasara na maumivu makubwa kuliko hata sisi. naisubiri sana hiyo siku watembee kwa mguu hadi zanzibar.
 
Mzee mihangwa alidai kwenye makala zake kwenye Rai kipindi kile kwamba marekani na uingereza walimuogopa mjaa babu kule zenji,ili zenji isiwe Cuba ya afrika mashariki palikua na machaguo mawili,iunganishwe na bara idhibitiwe,au ishambuliwe,alhamdulillah ikaunganishwa,baada ya kitisho Cha ujamaa nadhani tukawa na hofu ya uislam,maana kipindi hicho palikua na msemo ngoma ikipigwa zenji,afrika mashariki yote inacheza
 
Mlikataa katiba ya warioba Serikali 3 acheni kulia lia chukueni hatua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti East Africa yote inacheza,
 
Kumbe Nyerere alikuwa amelenga bahari lakini mbona kama mijamaa inaufaidi muungano kuliko siye
 
Hii sababu ni kwa mujibu wa ulivyoambiwa na hao wahenga, tueleze leo kwa akili zako mwenyewe nini maoni yako?
 
Wanasema eneo la kimkakati reference China na Taiwan, Spain na Cataluna Barcelona.
 
Umewahi kudadisi kabla Karume hajatangulia mbele za haki huo mwaka alikuwa na mawazo gani kuhusu Muungano? Nimesikia aliwahi kusema haya "Muungano ni kama koti likikubana unalivua"...
 
Vipi Commoro, Shelisheli na Madagascar?
 
Ipo siku watanganyika tutavunja huo udhalimu hawa machotara tutawatoa baru
Kiuhalisia bara ndio imeng'ang'ania mungano sana kuliko wazanzibar, kumbuka hata Nyerere ndie alieenda kumbebeleza Mzanzibar tuwe na muungano, ilibidi kumpa vitu vitamu tamu kama hivi viavyolalamikiwa ili muungano uwepo.
 
Kiuhalisia bara ndio imeng'ang'ania mungano sana kuliko wazanzibar, kumbuka hata Nyerere ndie alieenda kumbebeleza Mzanzibar tuwe na muungano, ilibidi kumpa vitu vitamu tamu kama hivi viavyolalamikiwa ili muungano uwepo.
Tengua kauli ni viongozi wenye maslahi binafsi ndio waliong'ang'ania muungano sisi wananchi wa bara hatuutaki muungano mpka kesho


Tunachukua jeshi letu tunawatoa wote wa wa Zanzibar kama wapo kwenye system na tunaliondoa.kule Zanzibar

Tunachukua umeme wetu

Tunachukua ardhi yetu

Kwenye utumishi, uongozi tunawatoa wajitegemee.wao


Tuwaone sasa na hayo ni machache
 
watakuwa weak kijeshi na huku wanajeshi na Sasa wana uwezo wa kununua Silaha bila muungano
Sio kweli mkuu... Ulinzi ni suala la muungano Rais wa Zanzibar hana mamlaka nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…