Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

Umeongea points kwa asilimia 60 lakini jaribu kuweka hisia za chuki pembeni mkuu, naona umeongea kwa hisia chachu, dharau na kebehi, next time weka pembeni hizo sumu, haya matatizo ni yetu sote, watanganyika wengi pia hawautaki muungano na wazanzibar pia hawautaki, hakuna haja ya kuweka hisia chachu kwenye kutoa maoni.

Hapo nmechukua ka point kazuri sana baada ya kuchambua mchele uliojaa mawe ili nipate mchele pekee
 
Subiri mapovu ya mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]
 
Wasiotaka muungano Ni malofa Maskini wasiochangia chochote kikubwa TRA au Zanzibar Revenue Authority . Kaangalie quality ya wapinga muungano walioko Zanzibar Ni Maskini wa kutupwa na bara hivyo hivyo .Hata ungevunja leo hawana Cha kuwekeza Zanzibar Cha kufanya Zanzibar ipae kimapato na hawana Cha kuwekeza bara Cha kufanya Tanzania ipae kimapato

Tuweke ushabiki pembeni .Wapiga yowe wengi masikini .Huwezi mwambia mfanyabiashara mkubwa aliyeko Zanzibar muungano uvunjike wakati soko lake kubwa liko bara na Huwezi mwambia mfanyabiashara mkubwa wa bara avunje muungano wakati soko lake kubwa la nafaka liko Zanzibar na mazao huyapata bara

Wapiga yowe ukiacha malofa Ni wanasiasa ambao maisha yao hutegemea porojo kushinda ubunge na Baraza la wawakilishi nk

Ila ukifanya assessment sio people material Ni waganga njaaa.Anapiga yowe ohh bara turuhusiwe kununua ardhi Zanzibar !!! Tanzania bara kwenyewe hata shamba Hana ana kakiwanja hatua chache tu.Kashindwa kununua hata kashamba tu!!! Mchonga mdomo hata asiyeweza!!!


Mwenye macho haambiwi Tazama angalia profile za wapinga muungano na CV zao wawe CCM au upinzani Ni malofa lofa tu hata Kama Wana vyeo walifikia hapo walipo kwa kuchonga midomo tu sio kwa kuchangia kikubwa TRA au ZRB(Zanzibar Revenue Board)
 
Zanzibar haijawahi kujiamlia mambo yake bila kupangiwa na wabara.
Hii ni ajjali kazini na baada ya hapa itarudi tena mikononi mwa wabara,
Wamesahau hata kudai taifa huru wakati ambao chochote wanachoweza kudai
uwezekano wa kusikilizwa upo na sio kupigwa mabom.
 
Zanzibar ni kama mtoto mdogo unampiga analia baadae unampa pipi ananyamaza.
 
Si afadhali ya huyu kaonesha mahaba na nchi yake kuliko wewe ulioshindwa kunyesha mahaba Kwa nchi yako,ukaonesha chuki kwa kuwaita machotara, karne hii unapanda basi la ubaguzi
Bloods archipelagos

[emoji90][emoji90][emoji90]
 
Kwa kuongezea tu ni kwamba Wazanzibari wao hata kuoa wanaruhusiwa kuoa Bara ila sisi wa Bara tukienda Zenji kuoa tunakataliwa yaani hata uwe unaitwa Ramadhani utakataliwa tu yani hii mi inaniuma mno.
 
Sema bila kupangiwa na CCM siyo Wabara.
Na wewe unajua vizuri kuwa ndani ya CCM kuna genge la Wazanzibar linalowauza wenzao kwa maslahi madogo ya vyeo.
Kwa hiyo acha kutulaumu wabara kwa kitu kinachofanywa na genge dogo tu la CCM ambalo na wazanzibar wenzao ni wadau wake.
 
Umewahi kudadisi kabla Karume hajatangulia mbele za haki huo mwaka alikuwa na mawazo gani kuhusu Muungano? Nimesikia aliwahi kusema haya "Muungano ni kama koti likikubana unalivua"...
Katika hali ya kawaida yule mzee alikuja kushtuka ameingizwa chaka na namna ya kutoka Isha kua ngumu kwake ndipo alipoanza kusema mafumbo kama hayo, kisha maisha yake hayakuweza kuendelea sana!
 
Wabara ndio wanamiliki jeshi na intelligence ndani ya ccm.
 
Vipi Commoro, Shelisheli na Madagascar?
hivo visiwa havina risk impact kubwa kuliko zenj.................. comoro , Madagascar havina muingiliano sana na waarabu........ kuliko zenji........
najua unajua uhusiano wa nchi za kiarabu na ugaidi
 
Hii sababu ni kwa mujibu wa ulivyoambiwa na hao wahenga, tueleze leo kwa akili zako mwenyewe nini maoni yako?
bado una umuhimu.......coz zanzibar itakua weak kijeshi ........hivyo kuwa ni njia rahisi kwa magaidi.............then kuhatarisha usalama wa bara
 
Alichemka kuipa zenj status ya nchi (semi-autonomous status) wakati alikuwa na upper hand, angezifanya tu kuwa wilaya za mkoa wa pwani au Dar.
 
Maelezo mazuri lakini yana ukakasi ndani yake uliopelekea hoja yako yote kuwa na ukakasi.

Taja mwingine ukiachilia said nani mwingine kutoka Zanzibar kiasi cha kusema Wabara wote hawana kitu katika biashara.

Kwamba huyo said ndie egememeo la serikali kwenye upande wa kodi kiasi cha kwamba asipokuwepo na serikali haita kuwepo!

Kwanini wachanga pekee ndio imewaona ni machinga, kwani mchanga ndie afanya huo uliouita umachinga pekee?

Wakina lisu mbowe na chadema wanahusika kwa namna yoyote na hii hoja?

Sio kwamba una chuki za kisiasa ndio ukaelemea kwa wachaga na chadema na vingozi wake?
 
Nadhani Tukitengana tutapoteza sehemu kubwa ya eneo la bahari na zanzibar itapaa kiuchumi kupitia marafiki zao waarabu.

In short kujitenga kuna manufaa makubwa sana kwa Zanzibar kukiko Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…