JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Sawa kwani nimekubishia, sasa eneo la bahari linaloizunguka zanzibar nje ya hizo tulizogawana linabaki kwa nani? Maana hapo tumeongelea eneo la bahari linalounganisha zanzibar na dsm tu, kuna maeneo ambayo hayaionganishi zanzibar na bara, unayafahamu hayo na ukubwa wake?hizo hizo tutagawana katikati mzee, mbona mgumu kuelewa, kwahiyo ulifikiri zanzibar watachukua eneo lote la bahari hadi kigamboni? Noo
Nimejaribu kuonyesha eneo la bahari ya Zanzibar ( maili 12 + 12 contigouus zone).Sheria ya kimataifa iko wazi. Soma hapa Territorial waters - Wikipedia
Maanake: kila nchi ina ukanda wa km 22.4 (maili 12) mbele ya pwani lake, ni mali yake kabisa. Kama nchi ziko karibu, kama Tanganyika na Zanzibar, mpaka unafuata mstari wa katikati. Hala kuna maili 12 tena, zinazoitwa "contigouus zone", ambako kila nchi ina haki ya kutumia polisi yake. Jumla km 45 hivi.
Halafu iko "eneo la kiuchumi" ambako kila nchi ina haki ya kutumia peke yake, ni km 370 (maili 200). Hapa ungepaswa kutumia mstari wa kati, maana eneo hili litaenea pia upande wa kusini ya Unguja, na pia mbele ya pwani ya Tanganyika.
[emoji3][emoji3]View attachment 2029458
Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya
Kwa upeo wangu mfupi najionea mambo haya, Naombeni mnipe maarifa, huenda mtazamo wangu haupo sawa.
Mambo ya huku bara lazima yawe na mchanganyiko wa mtanganyika na mzanzibari kuanzia ajira, uongozi, jeshini, mahakama, n.k kwenye uongozi kukiwa na msaidizi wa bara basi mkuu inabidi awe wa Zanzibar, kwenye ajira nako katika kila ajira 100 basi 21 za wazanzibar, jeshini huko wapo wengi pia sana sana polisi na jwtz, ila sasa huko kwao mambo yao ni ya wao hawataki mchanganyiko, hapa Tanganyika tunanufaika kivipi????
Ukija kwenye ardhi, wazanzibari kibao wanamiliki mashamba makubwa na viwanja huku bara lakini mtanganyika harusiwi kufanya hivyo, Je tunanufaika kivipi??
Ukija kwenye Power, hakuna kabila wala kundi linalowafikia wala kuwasogelea wazanzibar, yani si mchaga wala msukuma wala kabila lolote unaloweza kulifikiria, hawa wenzetu wapo wachache lakini wamesambazwa si mchezo kwenye vyeo vizito. kuna mawaziri, wakuu wamikoa, wakuu wa wilaya, ma rpc, vyeo vikubwa jwtz, mabalozi wa nchi za nje, majaji wa mahakama, maprofesa vyuoni, waajiriwa kwenye mashirika yenye mishahara minono kama bandarini, Bot, Tanapa, Tra, Nssf, n.k hii ni kwasababu muungano unahitaji mchanganyiko wa pande mbili.
Mtanganyika hana nafasi kwenye serikali ya zanzibar kuanzia kwenye uongozi, ajira, mahakama, n.k Wana serikali yao kwajili yao kuanzia uraisi, makamu wa raisi, spika wa bunge, n.k hawa inabidi wawe wa zanzibar. pia wana taasisi zao kama Zff ambayo ni kama tff ya huku, Zrb ambayo ni kama Tra ya huku, Zssf ambayo ni kama Nssf ya huku, Jku ambayo ni kama jkt ya huku, yani taasisi zipo kibao kwakweli, hizo taasisi zinatoa ajira kwa wazanzibar tu, mtu wa Tanganyika huna sifa, lakini cha ajabu mzanzibar anaweza kupata ajira pande mbili za bara na huko kwao, vya bara ni vya wote ila vya zanzibar ni vya wao pekee, Patamu happ aisee [emoji848][emoji848]
Tukubali kwamba wazanzibar WALITUZIDI AKILI na sasa wanafaidi dili nono la muungano
Kwa upeo wangu nimegundua Karume alimzidi akili Nyerere, Alipoona kwamba Nyerere anambembeleza sana kuwe na muungano, Karume akatumia nafasi hii kumbana Nyerere aipe Zanzibar upendeleo kama huu tunaouona ama sivyo hakuna muungano, Pia akaongezea kipengere kwamba endapo kukiwa na muungano basi Zanzibar iwe kwajili ya Zanzibar lakini Tanganyika ibanwe iwe kwajili ya wote, Kwa lugha nyepesi "changu ni changu ila chako tutagawana" matokeo yake leo Tanganyika tunashuhudia inapigwa nje ndani na wazanzibar, na pia haya malalamiko ya wazanzibar kunyonywa yaliwekwa kimkakati ili iwe silaha kwa Zanzibar kutojitapa kwamba wametuzidi akili lakini pia haya malalamiko huwadanganya watanganyika wadhani kwamba Zanzibar ni kama mkoa wake kumbe kiukweli wanapigwa [emoji23][emoji23]
tangu umezaliwa hadi leo eneo hilo umefaidika nalo vipi? pia, ujue zanzibar watahesabu nautical miles zao 12 beyond that, ni eneo la kimataifa yeyote analitumia. the same applies, hata sisi hatumiliki bahari yote, ni kwa miles zile tu zinazoruhusiwa kimataifa, kwengine huko tena karibu tu na tanzania wapo wachina wanavua samaki na mameli huko na hawakamatwi, ni eneo huru.Sawa kwani nimekubishia, sasa eneo la bahari linaloizunguka zanzibar nje ya hizo tulizogawana linabaki kwa nani? Maana hapo tumeongelea eneo la bahari linalounganisha zanzibar na dsm tu, kuna maeneo ambayo hayaionganishi zanzibar na bara, unayafahamu hayo na ukubwa wake?
Yote yalifanywa kuisecure BARA zanzibar isingeungana na Mainland ilikua iwe taifa la dola ya kiislamu, afu intellejensia ya America(Ama uingereza kama sijakosea) ilimtonya mchonga kwamba kingekua kitovu cha mafunzo ya.....automatically bara isingetawalika.....sababu ya pili ilikua influence ya Vatican kwa mwl hapa sielezi sana ila it is what it isView attachment 2029458
Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya
Kwa upeo wangu mfupi najionea mambo haya, Naombeni mnipe maarifa, huenda mtazamo wangu haupo sawa.
Mambo ya huku bara lazima yawe na mchanganyiko wa mtanganyika na mzanzibari kuanzia ajira, uongozi, jeshini, mahakama, n.k kwenye uongozi kukiwa na msaidizi wa bara basi mkuu inabidi awe wa Zanzibar, kwenye ajira nako katika kila ajira 100 basi 21 za wazanzibar, jeshini huko wapo wengi pia sana sana polisi na jwtz, ila sasa huko kwao mambo yao ni ya wao hawataki mchanganyiko, hapa Tanganyika tunanufaika kivipi????
Ukija kwenye ardhi, wazanzibari kibao wanamiliki mashamba makubwa na viwanja huku bara lakini mtanganyika harusiwi kufanya hivyo, Je tunanufaika kivipi??
Ukija kwenye Power, hakuna kabila wala kundi linalowafikia wala kuwasogelea wazanzibar, yani si mchaga wala msukuma wala kabila lolote unaloweza kulifikiria, hawa wenzetu wapo wachache lakini wamesambazwa si mchezo kwenye vyeo vizito. kuna mawaziri, wakuu wamikoa, wakuu wa wilaya, ma rpc, vyeo vikubwa jwtz, mabalozi wa nchi za nje, majaji wa mahakama, maprofesa vyuoni, waajiriwa kwenye mashirika yenye mishahara minono kama bandarini, Bot, Tanapa, Tra, Nssf, n.k hii ni kwasababu muungano unahitaji mchanganyiko wa pande mbili.
Mtanganyika hana nafasi kwenye serikali ya zanzibar kuanzia kwenye uongozi, ajira, mahakama, n.k Wana serikali yao kwajili yao kuanzia uraisi, makamu wa raisi, spika wa bunge, n.k hawa inabidi wawe wa zanzibar. pia wana taasisi zao kama Zff ambayo ni kama tff ya huku, Zrb ambayo ni kama Tra ya huku, Zssf ambayo ni kama Nssf ya huku, Jku ambayo ni kama jkt ya huku, yani taasisi zipo kibao kwakweli, hizo taasisi zinatoa ajira kwa wazanzibar tu, mtu wa Tanganyika huna sifa, lakini cha ajabu mzanzibar anaweza kupata ajira pande mbili za bara na huko kwao, vya bara ni vya wote ila vya zanzibar ni vya wao pekee, Patamu happ aisee π€π€
Tukubali kwamba wazanzibar WALITUZIDI AKILI na sasa wanafaidi dili nono la muungano
Kwa upeo wangu nimegundua Karume alimzidi akili Nyerere, Alipoona kwamba Nyerere anambembeleza sana kuwe na muungano, Karume akatumia nafasi hii kumbana Nyerere aipe Zanzibar upendeleo kama huu tunaouona ama sivyo hakuna muungano, Pia akaongezea kipengere kwamba endapo kukiwa na muungano basi Zanzibar iwe kwajili ya Zanzibar lakini Tanganyika ibanwe iwe kwajili ya wote, Kwa lugha nyepesi "changu ni changu ila chako tutagawana" matokeo yake leo Tanganyika tunashuhudia inapigwa nje ndani na wazanzibar, na pia haya malalamiko ya wazanzibar kunyonywa yaliwekwa kimkakati ili iwe silaha kwa Zanzibar kutojitapa kwamba wametuzidi akili lakini pia haya malalamiko huwadanganya watanganyika wadhani kwamba Zanzibar ni kama mkoa wake kumbe kiukweli wanapigwa ππ
Hadi bara eneo lipi? Zanz to dar approx km 116 nafikiri.
Sasa hilo swali la kufaidika unalilenga kwangu binafsi au kwa nchi ya Tanganyika ?πππtangu umezaliwa hadi leo eneo hilo umefaidika nalo vipi? pia, ujue zanzibar watahesabu nautical miles zao 12 beyond that, ni eneo la kimataifa yeyote analitumia. the same applies, hata sisi hatumiliki bahari yote, ni kwa miles zile tu zinazoruhusiwa kimataifa, kwengine huko tena karibu tu na tanzania wapo wachina wanavua samaki na mameli huko na hawakamatwi, ni eneo huru.
Wakojani Wanasonya Na Kutema Mate MbaliHuu muungano siupendi
Naomba atokee Rais chizi auvunje tu.
Umeulizwa ni kwanini nchi ziliunganishwa? Toa sababu kama unaijua. Yaani hayo ''mawazo mazuri'' yalikuwa ni kuhusu nini?Kuna mawazo yanaweza kuwa sawa leo lakini miaka ya mbele ukitafakari kwa kina unaona kabisa hayakuwa sawa Nyakati zinabadilika na fikra za binadamu zinabadilika pia Mtazamo wa leo unaweza kua bora lakini kesho ukawa tofauti kulingana na ukuwaji na upanukaji wa fikra za binadamu .
Mwalimu Nyerere na karume waliweza kuonekana mawazo yao yalikuwa bora kipindi kile lakini leo yanaonekana kuwa na kasoro kubwa kutokana na kukua kwa fikra na mtazamo wa wananchi wa leo.
Na eneo linalobaki nje ya hizo km?Gwanya hizo mara 2, Km 58 za kwao na 58 kutoka Dar za kwetu kwa upande huo.
kwenye hivyo vidoti mbona ni ushelisheli, comboro na reunion huko. chukua hiyo ramani uliyoweka hapo, angalia visiwa vya zanzibar vilipo, hesabu kuanzia kwenye pwani ya visiwa vyao nautical miles 12 tu ndio wanamiliki, kuja tz na upande wa pili. beyond that ni international water. ni petu wote, na dunia yote.Sasa hilo swali la kufaidika unalilenga kwangu binafsi au kwa nchi ya Tanganyika ?πππ
Unayaona hayo maeneo yenye vidoti? Wewe unadhani yana manufaa kwa Tanganyika au hayana?
View attachment 2029681
View attachment 2029682
Sawa.kwenye hivyo vidoti mbona ni ushelisheli, comboro na reunion huko. chukua hiyo ramani uliyoweka hapo, angalia visiwa vya zanzibar vilipo, hesabu kuanzia kwenye pwani ya visiwa vyao nautical miles 12 tu ndio wanamiliki, kuja tz na upande wa pili. beyond that ni international water. ni petu wote, na dunia yote.
Kwa gharama kubwa hivyo. Is it necessary.....!!? Hata UK siyo rahisi kukuta Scott anaongoza nchi... Gordon Brown aliachika na Tony Blair lakini alidumu tu kwa miaka 3.Tatizo nyie vijan hamuelewi, nyerere aliona mbari sana for security reasons kwasababu hata leo hii zanzbar wakijitenga hawata survive coz watakua week kijeshi kitendo cha nyerere kuleta muungano ni kutaka ku access eneo kubwa la bahari ya hind
View attachment 2029458
Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya
Kwa upeo wangu mfupi najionea mambo haya, Naombeni mnipe maarifa, huenda mtazamo wangu haupo sawa.
Mambo ya huku bara lazima yawe na mchanganyiko wa mtanganyika na mzanzibari kuanzia ajira, uongozi, jeshini, mahakama, n.k kwenye uongozi kukiwa na msaidizi wa bara basi mkuu inabidi awe wa Zanzibar, kwenye ajira nako katika kila ajira 100 basi 21 za wazanzibar, jeshini huko wapo wengi pia sana sana polisi na jwtz, ila sasa huko kwao mambo yao ni ya wao hawataki mchanganyiko, hapa Tanganyika tunanufaika kivipi????
Ukija kwenye ardhi, wazanzibari kibao wanamiliki mashamba makubwa na viwanja huku bara lakini mtanganyika harusiwi kufanya hivyo, Je tunanufaika kivipi??
Ukija kwenye Power, hakuna kabila wala kundi linalowafikia wala kuwasogelea wazanzibar, yani si mchaga wala msukuma wala kabila lolote unaloweza kulifikiria, hawa wenzetu wapo wachache lakini wamesambazwa si mchezo kwenye vyeo vizito. kuna mawaziri, wakuu wamikoa, wakuu wa wilaya, ma rpc, vyeo vikubwa jwtz, mabalozi wa nchi za nje, majaji wa mahakama, maprofesa vyuoni, waajiriwa kwenye mashirika yenye mishahara minono kama bandarini, Bot, Tanapa, Tra, Nssf, n.k hii ni kwasababu muungano unahitaji mchanganyiko wa pande mbili.
Mtanganyika hana nafasi kwenye serikali ya zanzibar kuanzia kwenye uongozi, ajira, mahakama, n.k Wana serikali yao kwajili yao kuanzia uraisi, makamu wa raisi, spika wa bunge, n.k hawa inabidi wawe wa zanzibar. pia wana taasisi zao kama Zff ambayo ni kama tff ya huku, Zrb ambayo ni kama Tra ya huku, Zssf ambayo ni kama Nssf ya huku, Jku ambayo ni kama jkt ya huku, yani taasisi zipo kibao kwakweli, hizo taasisi zinatoa ajira kwa wazanzibar tu, mtu wa Tanganyika huna sifa, lakini cha ajabu mzanzibar anaweza kupata ajira pande mbili za bara na huko kwao, vya bara ni vya wote ila vya zanzibar ni vya wao pekee, Patamu happ aisee π€π€
Tukubali kwamba wazanzibar WALITUZIDI AKILI na sasa wanafaidi dili nono la muungano
Kwa upeo wangu nimegundua Karume alimzidi akili Nyerere, Alipoona kwamba Nyerere anambembeleza sana kuwe na muungano, Karume akatumia nafasi hii kumbana Nyerere aipe Zanzibar upendeleo kama huu tunaouona ama sivyo hakuna muungano, Pia akaongezea kipengere kwamba endapo kukiwa na muungano basi Zanzibar iwe kwajili ya Zanzibar lakini Tanganyika ibanwe iwe kwajili ya wote, Kwa lugha nyepesi "changu ni changu ila chako tutagawana" matokeo yake leo Tanganyika tunashuhudia inapigwa nje ndani na wazanzibar, na pia haya malalamiko ya wazanzibar kunyonywa yaliwekwa kimkakati ili iwe silaha kwa Zanzibar kutojitapa kwamba wametuzidi akili lakini pia haya malalamiko huwadanganya watanganyika wadhani kwamba Zanzibar ni kama mkoa wake kumbe kiukweli wanapigwa ππ
View attachment 2029458
Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya
Kwa upeo wangu mfupi najionea mambo haya, Naombeni mnipe maarifa, huenda mtazamo wangu haupo sawa.
Mambo ya huku bara lazima yawe na mchanganyiko wa mtanganyika na mzanzibari kuanzia ajira, uongozi, jeshini, mahakama, n.k kwenye uongozi kukiwa na msaidizi wa bara basi mkuu inabidi awe wa Zanzibar, kwenye ajira nako katika kila ajira 100 basi 21 za wazanzibar, jeshini huko wapo wengi pia sana sana polisi na jwtz, ila sasa huko kwao mambo yao ni ya wao hawataki mchanganyiko, hapa Tanganyika tunanufaika kivipi????
Ukija kwenye ardhi, wazanzibari kibao wanamiliki mashamba makubwa na viwanja huku bara lakini mtanganyika harusiwi kufanya hivyo, Je tunanufaika kivipi??
Ukija kwenye Power, hakuna kabila wala kundi linalowafikia wala kuwasogelea wazanzibar, yani si mchaga wala msukuma wala kabila lolote unaloweza kulifikiria, hawa wenzetu wapo wachache lakini wamesambazwa si mchezo kwenye vyeo vizito. kuna mawaziri, wakuu wamikoa, wakuu wa wilaya, ma rpc, vyeo vikubwa jwtz, mabalozi wa nchi za nje, majaji wa mahakama, maprofesa vyuoni, waajiriwa kwenye mashirika yenye mishahara minono kama bandarini, Bot, Tanapa, Tra, Nssf, n.k hii ni kwasababu muungano unahitaji mchanganyiko wa pande mbili.
Mtanganyika hana nafasi kwenye serikali ya zanzibar kuanzia kwenye uongozi, ajira, mahakama, n.k Wana serikali yao kwajili yao kuanzia uraisi, makamu wa raisi, spika wa bunge, n.k hawa inabidi wawe wa zanzibar. pia wana taasisi zao kama Zff ambayo ni kama tff ya huku, Zrb ambayo ni kama Tra ya huku, Zssf ambayo ni kama Nssf ya huku, Jku ambayo ni kama jkt ya huku, yani taasisi zipo kibao kwakweli, hizo taasisi zinatoa ajira kwa wazanzibar tu, mtu wa Tanganyika huna sifa, lakini cha ajabu mzanzibar anaweza kupata ajira pande mbili za bara na huko kwao, vya bara ni vya wote ila vya zanzibar ni vya wao pekee, Patamu happ aisee π€π€
Tukubali kwamba wazanzibar WALITUZIDI AKILI na sasa wanafaidi dili nono la muungano
Kwa upeo wangu nimegundua Karume alimzidi akili Nyerere, Alipoona kwamba Nyerere anambembeleza sana kuwe na muungano, Karume akatumia nafasi hii kumbana Nyerere aipe Zanzibar upendeleo kama huu tunaouona ama sivyo hakuna muungano, Pia akaongezea kipengere kwamba endapo kukiwa na muungano basi Zanzibar iwe kwajili ya Zanzibar lakini Tanganyika ibanwe iwe kwajili ya wote, Kwa lugha nyepesi "changu ni changu ila chako tutagawana" matokeo yake leo Tanganyika tunashuhudia inapigwa nje ndani na wazanzibar, na pia haya malalamiko ya wazanzibar kunyonywa yaliwekwa kimkakati ili iwe silaha kwa Zanzibar kutojitapa kwamba wametuzidi akili lakini pia haya malalamiko huwadanganya watanganyika wadhani kwamba Zanzibar ni kama mkoa wake kumbe kiukweli wanapigwa ππ
Na eneo linalobaki nje ya hizo km?
KWANI ENEO LA BAHARI ALILONALO ZANZIBAR UNALIFAHAMU? KAMA NI NCHI IKISEMA MELI ZA NCHI YA TZ ZISIPITE ENEO LETU UNAFAHAMU TUTAATHIRIKA VIPI? MWISHO WAO WANA UWEZO WA KIJESHI KULINDA ENEO LAO LILILOUNGANA NA SISI NA MAHARAMIA NA WAUZA MADAWA?
Mkuu Yoda, Majibu yake wala usinipe wewe hitimisha tu kwa namna unavyopenda wewe.
watakata mikoa yote ya pwani ya wapi? wakati pwani yoote Mjerumani ndio alitawala, Mafia Mjerumani aliinunua toka kwa sulan, na wazanzibari hilo hawalijui kwasababu shule imeenda kushoto. soma historia ndio uje kujadili hapa. hakuna pwani yeyote itakayodondokea kwao, wala kisiwa chochote, vyote hivyo vilikuwa Germany EAst Africa. vile visiwa vyao viwili tu na twingine tudogo tusitoonekana around there, ndio vilikuwa vimebaki kwa sultani na ndivyo walivyovikomboa. manake ukitaka kusema hivyo wao wanaamini hadi dsm ni mali yao, hapa dsm watakuja kwa visa, au la watarudishwa kwa kutembea kwa mguu hadi nungwi.Zanzibar ikiwa huru itarudi kwa Mwaraabu fasta. Baadaye watataka mikoa yote ya Pwani. Utumwa kwa weusi utarudi, ikumbukwe Zanzibar ilikuwa Soko kuu la watumwa.
Usalama kwa Tanganyika utakuwa mgumu. Pia Nyerere alikuwa na maono ya kuiunganisha Afrika yote ukianzia na ukanda wako. Alitaka Kenya, Uganda, Tanzania ziwe kitu kimoja pamoja na Zanzibar.