Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Mimi nipo kahama jana tu nilikuwa mashambani mpunga upo wa kutosha bei unachezea 55 na hata 46 hivyo ni juhudi yako usafiri upo barabara zinapitika vizuri sanaWakulungwa habari zenu
Kama mada inavyojieleza
Nahitaji mpunga kutoka katika maeneo yanayozunguka kanda ya ziwa hasa mikoa ya Geita,Mwanza,Simiyu na Shinyanga
Bei ikoje kwa gunia 1 na upatikanaji wake pamoja na usafirishaji wake ukoje
Mnijuze tafadhali.
Lengo lako kuja kukoboa au utauweka mpka pale utakapouza bila kukobolewa?Kwa geita now ni 45 na unatarajiwa kushuka zaidi.
Karibu.
But...unaweza ukanipa elimu kidogo juu ya hii biashara.
Nachojua mimi ni kuweka stock tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka niuweke stockLengo lako kuja kukoboa au utauweka mpka pale utakapouza bila kukobolewa?
Ok karibu kununua bei ndio hizo chagua mahali pa kununuliaMimi nataka niuweke stock