Mnifahamishe bei ya mpunga kwa maeneo kuzunguka kanda ya ziwa

Mnifahamishe bei ya mpunga kwa maeneo kuzunguka kanda ya ziwa

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Wakulungwa habari zenu

Kama mada inavyojieleza

Nahitaji mpunga kutoka katika maeneo yanayozunguka kanda ya ziwa hasa mikoa ya Geita,Mwanza,Simiyu na Shinyanga

Bei ikoje kwa gunia 1 na upatikanaji wake pamoja na usafirishaji wake ukoje

Mnijuze tafadhali.
 
Mimi nipo kahama jana tu nilikuwa mashambani mpunga upo wa kutosha bei unachezea 55 na hata 46 hivyo ni juhudi yako usafiri upo barabara zinapitika vizuri sana
 
Kwa geita now ni 45 na unatarajiwa kushuka zaidi.
Karibu.

But...unaweza ukanipa elimu kidogo juu ya hii biashara.
Nachojua mimi ni kuweka stock tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom