Mnifahamishe kuhusu Subaru EJ20 Non-Turbo kabla ya kununua ya mwaka 2010

Mnifahamishe kuhusu Subaru EJ20 Non-Turbo kabla ya kununua ya mwaka 2010

BillionaireG

New Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
3
Reaction score
6
Wakuu, naomba msaada wa kufahamu mambo yafuatayo kuhusu Subaru yenye engine ya EJ20 Non-Turbo:
  1. EJ20 Non-Turbo ilizalishwa hadi mwaka gani?
  2. Ni mwaka gani Subaru walianza kutumia CVT kwenye EJ20 Non-Turbo?
Lengo langu ni kununua Subaru ya mwaka 2010 yenye EJ20 Non-Turbo, hivyo nataka kufahamu kama ni chaguo zuri na ni mwaka gani unaofaa zaidi.
 
Subaru forester EJ20 engine sio gari ya kuuliza ubora wake kama pesa IPO nunua Tu.
SH 5 zote ziliishia mwaka 2012 na gear box yake sio CVT, hii ni gari imara kama utazingatia service Tu

Pia tafuta Uzi mbalimbali hapa jukwaani utapata elimu kubwa zaidi juu ya Subaru kwasababu hii gari imejadiliwa Sana humu ndani
 
Back
Top Bottom