Subaru forester EJ20 engine sio gari ya kuuliza ubora wake kama pesa IPO nunua Tu.
SH 5 zote ziliishia mwaka 2012 na gear box yake sio CVT, hii ni gari imara kama utazingatia service Tu
Pia tafuta Uzi mbalimbali hapa jukwaani utapata elimu kubwa zaidi juu ya Subaru kwasababu hii gari imejadiliwa Sana humu ndani