Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanakijiji
Huyu jamaa ni kiboko. Hebu nenda kasome hapa Investigative Panel Reports kisha search for his name, utaona jinsi alivyozoea mambo ya money laundering.
Kweli Bongo ni shamba la bibi!
labda alimnunulia rais sutikwa kweli hapa usalama wa taifa mmetuangusaha sana jamani. Hivi hadi haya yote yanatendeka mnakuwa wapi wandugu. Ongezeni juhudi vinginevyo nchi yetu itakuwa kwenye hatari sana. Kataeni kufuatilia mambo ya siasa ili mjikite zaidi kwenye usalama wa taifa letu. Hapa tunawategemea sana jamani. Mambo ya siasa waachieni hao hao wanasiasa msiwatumikie hata kidogo. Wakimbieni na muwakatae kama ukoma.