Mnijuze: Nani alikuwa bora kati ya Peter Manyika na Mohamed Mwameja?

hii historia adimu sana kuipata.. nashukuru kwa kuiweka hapa nami nimefurahi kusoma kuna watu ambao wana hazina ya kumbukumbu kama hizi. unaweza ukaenda klabuni simba usiikute... haya mambo ni ya muhimu sana kusimulia kwa kizazi hiki.

 
Kama uliweza kumwona Mwameja na kwa sasa unatumia neno SHEEDAR hakika unazidi kupotea uzeeni utakuwa mzito akilini.

Kama ni mwanaume na umeanza kushindanisha wanaume uzuri uzeeni unaweza kuwa Shoga.
 
MWAMEJA MOHAMED MWAMEJA uwezo wake bado haujafikiwa na kipa yeyote tanzania tokea alipotundika daruga. GOLIKIPA BORA WA MUDA WOTE
 
Pondamali alikuwa karataker na dojo alilofundishiwa ni kwa sensei bobani wanasema alikuwa na black belt
Tukiwa shule ya Msingi kulikuwa na Jamaa tulimuita Ponda, almaarufu Pondaa...na alikuwa bonge la golikipa ingawa mpira wetu ulikuwa wa makaratasi.

Shule nzima alijulikana kwa jina hilo kuliko jina lake halisi.
 
comment ya jamaa imenishtua sana .. nmegundua tuna kazi kubwa sana sisi watu wazima humu JF. mimi miaka yangu yoooote sijawahi sikia mwanaume anamsifia mwanaume mwenzie kuwa ni handsome... mwanaume kamili hawezi hata jua tofaut ya mwanaume huyu na yule kwa mtizamo huo. lakini zaidi zaidi ni matumizi ya maneno kama hayo "sheedar"? sijajua tunaelekea wapi maana najua tulipotoka ila tunakoelekea kwa watu wa namna hii ni hatari sana kwa mustakabari wa taifa hili changa.

Kama uliweza kumwona Mwameja na kwa sasa unatumia neno SHEEDAR hakika unazidi kupotea uzeeni utakuwa mzito akilini.

Kama ni mwanaume na umeanza kushindana wanaume uzuri uzeeni unaweza kuwa Shoga.
 
Tulia tu Ndugu kwa kweli tuna kazi sana kwa sasa.
 
Unakuta dume limeandika Lol, au jomoni bila shaka ni bwabwa
 
Waarabu fitna wameanza kitambo😂😂😂
 
Kujaribu kumlinganisha Mwameja na Manyika ni sawa na kujaribu kulinganisha suruali na chupi.Mi ni shabiki mkubwa wa Yanga but Mwameja was something else ..Alikuwa hafungiki .Katika mechi ambazo Yanga ilimfunga Mwameja basi jua kilikuwa na mkono wa Gulamali
 
Saluti kwako, umenikumbusha mbali sana, mwaka ambao niliwachukia Yanga kikwelikweli na sijawapenda tena pale Simba ilipocheza fainal na Stela (kama sikosei) uwanja wa Taifa, nikiwa safarini ndani ya basi nikasikia kelele kwenye radio watu wanashangilia Mtoto wa kike nikanyanyuka na kushangilia kwa sauti basi zima wananiangalia, nikijua Simba imefunga kidogo nasikia 'uzalendo umetushinda" niliumia sana, nikiwa nje ya Tanzania Yanga ilikuja kwa mashindano sikukubali kwenda uwanjani japo baadae nilikwenda kwa shingo upande kama kawaida yao ilifungwa nilinyamaza kimya maana ningeshangilia kufungwa kwao wenyeji wangenishangaa, zamani wakiwa mechi za nje nilikuwa nawashabikia sio sasa hapana.
 
kama hujawahi sikia mwanaume anamsifia mwanaume mwenzake basi aidha ulipoishi hakuna wanaume handsome au mna wivu na mazuri ya mtu,zamani ilikua rahisi kusema nampenda michael jackson,nampenda aurus mabele,leo ukisema nampenda diamond panakua na reactions kama zako..ni kwa kuwa mnawaza ngono mno..ni kweli mwameja alikua handsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…