Alidaka huyo huyo Mwameja na akachezea bao mbili za haja mbele ya mzee Ruksa!Mkuu sikupingi ila nauliza tu, hivi kipindi Stella Abijan wakiifunga simba na Bolizozo akawa maarufu zaidi ya raisi wa Tz golikipa wa Simba alikuwa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani tunaposema fulani ni kipa mzuri inamaana hua hafungwi kabisa hata goli moja?Alidaka huyo huyo Mwameja na akachezea bao mbili za haja mbele ya mzee Ruksa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa Mohammed MwamejaMkuu sikupingi ila nauliza tu, hivi kipindi Stella Abijan wakiifunga simba na Bolizozo akawa maarufu zaidi ya raisi wa Tz golikipa wa Simba alikuwa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungwa goli mbili hakukuondoa ukweli huo kwamba aliendelea kuwa Tanzania One. Huwa tunaangalia na ukubwa wa mashindano. Dennis Onyango ameingia katika wachezaji wanaowania mchezaji bora wa ndani wa Africa, licha ya kwamba alifungwa goli 3 na Taifa StarsAlidaka huyo huyo Mwameja na akachezea bao mbili za haja mbele ya mzee Ruksa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuu, lazima wajue kua kipa bora haina maana kwamba hafungwi. Kipa wa namna hiyo hajawahibkutokea wala hatatokea sio Tanzania bali ulimwenguni koteKufungwa goli mbili hakukuondoa ukweli huo kwamba aliendelea kuwa Tanzania One. Huwa tunaangalia na ukubwa wa mashindano. Dennis Onyango ameingia katika wachezaji wanaowania mchezaji bora wa ndani wa Africa, licha ya kwamba alifungwa goli 3 na Taifa Stars
Mwameja kama Manula tu...Ken Mkapa alipiga shuti Mbagala goli linaingia Bunju mikia wanakufaMwameja alikuwa sheedar. Uwezo wa Kipa huwa kwenye kuokoa one against one. Mwameja alikuwa bora zaidi kwenye eneo hilo. Aliokoa penalty nyingi na alikuwa anadaka moja kwa moja yaani kumeza au kuficha mashuti zaidi ya kuyapangua. Peter Manyika alikuwa mzuri kwenye purukushani mfano Kona n.k., alikuwa anaokoa kwa kupangua zaidi na hakuwa mzuri kwenye penalty.
Mwameja pia alikuwa na u-handsome fulani hivi, hivyo aliongeza mvuto.
HahahahaaaaaKitu pekee alichozidiwa Mwameja na Peter Manyika ni kuvaa kapelo