Mnijuze: Nani alikuwa bora kati ya Peter Manyika na Mohamed Mwameja?

Mnijuze: Nani alikuwa bora kati ya Peter Manyika na Mohamed Mwameja?

Alidaka huyo huyo Mwameja na akachezea bao mbili za haja mbele ya mzee Ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungwa goli mbili hakukuondoa ukweli huo kwamba aliendelea kuwa Tanzania One. Huwa tunaangalia na ukubwa wa mashindano. Dennis Onyango ameingia katika wachezaji wanaowania mchezaji bora wa ndani wa Africa, licha ya kwamba alifungwa goli 3 na Taifa Stars
 
Safi sana mkuu, lazima wajue kua kipa bora haina maana kwamba hafungwi. Kipa wa namna hiyo hajawahibkutokea wala hatatokea sio Tanzania bali ulimwenguni kote
 
Mwameja alikuwa sheedar. Uwezo wa Kipa huwa kwenye kuokoa one against one. Mwameja alikuwa bora zaidi kwenye eneo hilo. Aliokoa penalty nyingi na alikuwa anadaka moja kwa moja yaani kumeza au kuficha mashuti zaidi ya kuyapangua. Peter Manyika alikuwa mzuri kwenye purukushani mfano Kona n.k., alikuwa anaokoa kwa kupangua zaidi na hakuwa mzuri kwenye penalty.

Mwameja pia alikuwa na u-handsome fulani hivi, hivyo aliongeza mvuto.
Mwameja kama Manula tu...Ken Mkapa alipiga shuti Mbagala goli linaingia Bunju mikia wanakufa
 
Back
Top Bottom