Mnikulu, hivi kale ka utaratibu ka kutoa mbuzi na mahitaji kwa vituo vya watu wenye mahitaji maalum wakati wa sikukuu umekasahau?

Mnikulu, hivi kale ka utaratibu ka kutoa mbuzi na mahitaji kwa vituo vya watu wenye mahitaji maalum wakati wa sikukuu umekasahau?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee.

Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
 
Nakukumbusha Muda Bado Tunao Pia Mara Hii Hatukutaka Media Coverage
 
Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee.

Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
Hii ni Christmas ya watanzania wakristu, subiri zile sikukuu zinazohusiana na VITU VINAVYOTOA MWANGA USIKU ANGANI, ......

Nadhani utakuwa umenielewa, kifupi amepigwa upofu na dini yake ,😅😅😅🤔🤔😅🤔
 
Walikuwa wanatoa kwa vituo vingapi??
 
Back
Top Bottom