Mninga

Mninga

Tp ni sh 15000
Mlango mmoja au dirisha malipo 40000,gharama hizi ni according to GN(government notice) hivyo zinafanana kwenye kila ofisi utakayoenda.

Utalipi halmashauri pia,hapa sijui wanalipia sh ngapi.
 
Note: Process hizo ni Kwa yule ambae hana usajili,hivyo Kwa mfanyabiashara aliesajiliwa mchakato wao ni tofauti kidogo
 
Sasa kwanin usafirishe mkuu,labda km umepewa zawadi mimi naona km Kuna process alafu Kuna ghalama wa mfano mlango mmoja 40 k hapo bado haujaufikisha kwenye gari na kuusafirisha au huko unapopeleka hamna
 
kwa frame ya mlango ushuru 40,000/= na kwa top ya mlango ushuru 50,000/= pia utalipia 20,000/= kwa ajili ya kibali cha usafirishaji hii ni kwa mzigo wote, gharama za madirisha sifahamu.

note: kama milango unaichukulia maeneo inakopita reli ya kati ni vizuri uwatumie trc maana ni njia rahisi pia gharama yake ni ndogo.
 
Kuna yeyote humu alie na experience na kusafirisha milango na madirisha ya mninga kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine? Je process ziko vipi na gharama zikoje?
Niliona tangazo mahali huyu jamaa akisema anauza Milango kutokea Iringa na wa nje ya mkoa huo atashughulikia mwenyewe usafiri na vibali +255 757 026 080.

Mie binafsi sijapata kununua kwake bado.
 
Kuna yeyote humu alie na experience na kusafirisha milango na madirisha ya mninga kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine? Je process ziko vipi na gharama zikoje?
Kuna jamaa amenisafirishia milango ya mninga toka Tabora hadi Dodoma kwa njia ya reli
 
Kuna jamaa amenisafirishia milango ya mninga toka Tabora hadi Dodoma kwa njia ya reli
Unadhani yeye mleta mada anataka kujua kama ulisafirishiwa au haukusafirishiwa? Au unadhan anataka kujua ilikua ni kutoka wapi kwenda wapi?

Tumia akili
 
Back
Top Bottom