Karibu tukuhudumie
Ni kijiwe cha kahawa hapa kijijini mpigamiti..😊Tfs ndio nini boss?
Niliona tangazo mahali huyu jamaa akisema anauza Milango kutokea Iringa na wa nje ya mkoa huo atashughulikia mwenyewe usafiri na vibali +255 757 026 080.Kuna yeyote humu alie na experience na kusafirisha milango na madirisha ya mninga kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine? Je process ziko vipi na gharama zikoje?
Kuna jamaa amenisafirishia milango ya mninga toka Tabora hadi Dodoma kwa njia ya reliKuna yeyote humu alie na experience na kusafirisha milango na madirisha ya mninga kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine? Je process ziko vipi na gharama zikoje?
Unadhani yeye mleta mada anataka kujua kama ulisafirishiwa au haukusafirishiwa? Au unadhan anataka kujua ilikua ni kutoka wapi kwenda wapi?Kuna jamaa amenisafirishia milango ya mninga toka Tabora hadi Dodoma kwa njia ya reli
Wewe unatumia nini ?Unadhani yeye mleta mada anataka kujua kama ulisafirishiwa au haukusafirishiwa? Au unadhan anataka kujua ilikua ni kutoka wapi kwenda wapi?
Tumia akili