Mniombee kuna gari inanifuata.

Mkuu piga gari reverse uwafuate uone kama hawajaanza kukimbia wenyewe.
 
Ukisimamisha gari na wao wakisimama geuza gari wafuate na waonye!
 
May Allah bless Me and You
 
Wakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.

Nikisimama nao wanasimama narudia tena dua zenu leo kuna kazi kubwa sana.

Hao wanaokufata wanajulikana au hawajulikan nkuy?
 
Wakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.

Nikisimama nao wanasimama narudia tena dua zenu leo kuna kazi kubwa sana.
tokomea mahali kusikojulikana
 
Wakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.

Nikisimama nao wanasimama narudia tena dua zenu leo kuna kazi kubwa sana.

Ndio Nissan hapo kwenye side mirror?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiwa katika this situation someni namba za gari kwanza halafu pigia mtu wako wa karibu simu umjuulishe tena tuma audio msg iwe ndio kumbukumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…