Eternal_Life
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 812
- 1,674
Mkuu piga gari reverse uwafuate uone kama hawajaanza kukimbia wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha🙂🙂🙁 Au labda watakupeleka mitaa ya Ununio, wakutupe barabarani, upate KIKI, utunge nyimbo ya ya Equatorial Guinea! ...au Rwanda..Mungu akuongoze lakini wakirudi nyuma itakubidi uwafuate wao ili ngoma iwe droo. Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wacha hiyo gari ikufuate na ikumalize kabisa.Sichanganyikiwi mgonjwa kweli
Wakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.
Nikisimama nao wanasimama narudia tena dua zenu leo kuna kazi kubwa sana.
tokomea mahali kusikojulikanaWakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.