Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
South ndo UKIMWI umekita kambi pale, sasa wew jifanye mjanja kuiloanisha kwanza.
utarudi unalilia kimyakmy
Nasikia Ghana na Senegal kuna vyombo balaa🔥, kuna mmoja nina namba yake, picha aliyoiweka tu profile mwanaume yeyote hawezi kuresist, lips lips, jicho jicho, halafu kaachia kifua kiwalaani.Alaaaa, alaaaaa!
Uje ujiandae nikupeleke ghana au nigeria au senegal
Ukirudi huko tz, utalazimisha muungano wa lazima kwa hz nchi.
Hao hawana baya
Bila picha huu ni uzushi tuNasikia Ghana na Senegal kuna vyombo balaa🔥, kuna mmoja nina namba yake, picha aliyoiweka tu profile mwanaume yeyote hawezi kuresist, lips lips, jicho jicho, halafu kaachia kifua kiwalaani.
Mkuu, unataka nifungwe? Kushare picha ya watu pasipo ridhaa? 😁Bila picha huu ni uzushi tu
Unashea kdg tu na wewe! Si utaifuta..Mkuu, unataka nifungwe? Kushare picha ya watu pasipo ridhaa? 😁
Hahaha!Unashea kdg tu na wewe! Si utaifuta..
Bila picha huu ni uzushi tu
Hii ninayo(🤮) lete nyingine!
Hahahaha!
Huyu bora umpate tena umpate ule mkali wa miezi miwili tu watu wanakula ubwabwa. Asirudi Bongo
Kila la kheri huko mkuu!.
anakula peshen ya uchawa kwa mama wa kizmkaz.Huyu bora umpate tena umpate ule mkali wa miezi miwili tu watu wanakula ubwabwa. Asirudi Bongo