Mniombee ndugu zanguni. Sijui kama nitarudi salama

Wanakula chakula cha aina moja ndio maana maumbo yao yapo kama unavyowaona shop rite,Checkers na Pick n pay zipo hadi vijijini wakila hivyo vyakula vya hayo maduka wote lazima wafanane kama kumbikumbi kwa uzuri hawa wadudu ni wazuri aisee wazulu wao wanaona kawaida tu ingawaje kwa mgeni unabaki kushangaa hatari wazuri zaidi ni Wakhoxa ni hatari ukienda huko Eastern Cape utazima simu hautaki bughuza kabisaa..
 
Inabidi niende huko. Hali ya usalama ikoje huko? Niende hata kwa siku 3/4 hivi. Nikajilie weeeee mpaka nitosheke. Niambie tu kuhusu usalama maana jamaa wanasema nisije kupa mzigo wa kurudisha mwili Tz. Ingawa serikali inajua nipo huku kikazi but itajifanya haijui.

Nawataka hao wakhoxa
 
Lo salaleee.... Ntarudi Bongo kweli?
 
Ukifikia hotel nzuri hakuna mtu atakuja hapo bila wewe kuwaruhusu waingie huku sio kama bongo eti mtu anaingia hadi hotelini kizembe akileta ubishi huko counter anakula shaba huko huko chini ingawaje hayo matukio hayapo sana sema usiende mtaani kwao na suti yako ukajifanya mtu wa I love u kwa sana kaka zake watataka uwatoe..
 
Siku Moja hudhuria kwenye sherehe zao hasa wakiwa wanacheza Ngoma zao za jadi hautakaa kurudi bongo
 
Ok. Suits navaa tu kwenye meetings na shughuli za kikazi. Baada ya hapo ni jeans na cardet mtaani. Sema wakiniona mapigo yangu wanajua tu kuwa ninazo njuruku.

Mitaani sikanyagi nakutana nao wengi kwenye malls na restaurants. Sasa sijajua huko usemako kukoje.
 
Wakamate huko huko mtaani ukafanye nini tena kama chimbo umelipata ni kubadilisha Mall tu kama upo Jozi ni Mall of Africa,East Gate Mall,East rand Mall na hizo zingine ndogo ndogo utazoa mwite na mzala Busu la Kenge sijui Maghayo aache hadi viatu..
 
Busu la Kenge yupo South? Ana brush viatu? πŸ˜‚ Ngoja nimtafute naye ajioate kidogo aweze kupata mbadilisho wa chakula. Aiseee... Jana nmekula ugali hotel moja kwa dagaa na mboga mboga kama tsh 40,000 za kibongo.
 
Mkuu huku ishi tu bhana usizibadilishe na hela za bongo utashinda na njaa oohh...
Mkitoka bongo mnapenda kutumia calculator balaa..
 
Mkuu huku ishi tu bhana usizibadilishe na hela za bongo utashinda na njaa oohh...
Mkitoka bongo mnapenda kutumia calculator balaa..
Bahati nzuri mi nazunguka sana Duniani. Tz huwa nakuja mara chache. Sisi waambata hatukai sana ofisini. Nina uzoefu wa nchi zaidi ya 50 kwa sasa
 
Bahati nzuri mi nazunguka sana Duniani. Tz huwa nakuja mara chache. Sisi waambata hatukai sana ofisini. Nina uzoefu wa nchi zaidi ya 50 kwa sasa
Ukizunguka hivyo miaka kumi ijayo utaweza kufikia rekodi yangu nadhani maana niliivuruga Dunia..50 si Nchi za Afrika tu hizo
 
Si huko nasikia kupigwa shaba ni nje nje

Wanasema hivyo. Ila nimefikia ushuani sana. Huku wamejaa wazungu na kuna utulivu mkubwa. Mabinti nikiwatajia tu huku hotel nliyofikia wanaloana wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…