Bado mimi nimejaza zile passport za zamani karibu 10 hizi mpya zimeshajaa mbili na hii ya tatu inaenda ukiongoni sijui kama makaratasi yapo huko ungindoni maana wana mtihani sana..nilikua nafanya kazi kwenye kampuni ya kusafirisha matunda kutoka Cape kwenda Nchi za Ulaya na baadae nikaongia kampuni ya utafiti baharini kwa hiyo nimesafiri sana kujua Nchi zingine kama nilienda naangalia mihuri yao..