Mnipokee ndugu zangu!

Mnipokee ndugu zangu!

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
239
Baada ya muda mrefu kuwa gesti katika JF nimeamua nami kuingia rasmi hadi ukumbini. Nimekuja na agenda moja tu -- mabadiliko -- kwani nachukia sana watu wa magamba na usanii wao.

Kwa hiyo msiniulize niko upande gani -- ni upande wa ukweli na haki tu -- hadi kieleweke!
 
Back
Top Bottom