Mniruhusu nije na series za makabila ya kitanzania!

Mniruhusu nije na series za makabila ya kitanzania!

haiwezi kuwa kwa makabila yote, kamwe. Nna mambo mengi ya kufanya bwana, isitoshe am not an academician to spend whole time speculating on more than 120 tribes. I will be crazy!

Wewe na mwanzisha thread ni wamoja?
 
Wewe na mwanzisha thread ni wamoja?

kuna mtu anataka kuniharibia uwepo wangu humu jf, sielewi lengo lake nini, ila sirudi nyuma, ni mbele kwa mbele. time will tell, na muda si mrefu ataacha ujinga wake. nahis kuna mahali niligusa interest zake, bado sijajua wapi lakini ni suala la muda tu ntajua
 
ni sawa mtu unatoa post, halafu ghafla watu wanchangia kwa kupiga stori tofauti na maudhui ya uzi husika. mie watu wa aina hii nawachukulia kama wenye 'akili za kwenye kiroba' tu kwani muda wowote kibaka akiziiba anabaki mweupe!
 
kuna mtu anataka kuniharibia uwepo wangu humu jf, sielewi lengo lake nini, ila sirudi nyuma, ni mbele kwa mbele. time will tell, na muda si mrefu ataacha ujinga wake. nahis kuna mahali niligusa interest zake, bado sijajua wapi lakini ni suala la muda tu ntajua

Mmmh haya.
Usikute ndo yale yanayosemwa kila siku kua watu wananzisha thread na kujijibu wenyewe.
 
kuna mtu anataka kuniharibia uwepo wangu humu jf, sielewi lengo lake nini, ila sirudi nyuma, ni mbele kwa mbele. time will tell, na muda si mrefu ataacha ujinga wake. nahis kuna mahali niligusa interest zake, bado sijajua wapi lakini ni suala la muda tu ntajua

Mbona umeanza visingizio tena bro, we endelea na ulichokusudia kufanya tunakuunga mkono. Ila ukidanganya tu, hatukawii kukuumbua humu humu. Maana hata mimi sipendi mtu anayeongelea jambo bila kufanya utafiti kwanza, namchukia sana.
 
Tunakuruhusu lkn uje na hoja zilizoshiba usijeukatuletea upupu wk humu jamvini.
 
wait a minute,sio wewe uliyekuja na ndizi na vidude na miguu na milima sijui upupu gani???...tafadhali baki na mapumba yako!
 
Back
Top Bottom