Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maskini ya mungu!! Itakua ya kichina ulikutana na shangingi pori!!pole
Jamani mimi ni mume wa mtu na nina mtoto mmoja. Katika pitapita zangu mdada mmoja katokea kunizimikia ile mbaya. Nimejaribu kumkwepa lakini waapi, kila siku ananipa majaribu!Kuna siku alinialika kwake nikakataa kwenda, akamtuma mshkaji wangu atafte mbinu ya kunipeleka kwake. Mi sikujua kama mshkaji wangu alitumwa na yule demu, ila jamaa yangu alinambia kuna dadake anaumwa so twende nae (kwa usafiri wangu) ili ampeleke hospitali. Tulipofika tukaingia ndani na mshikaji akanambia nimsubiri anatoka idogo, sijakaa sawa demu yule anaenimind akatokea kavaa kihasara hasara, looh!Wanaume wenzangu jamani mnajua tulivyo hasa tuonapo baadhi ya maungo ya hawa kina Eve. Kwa kweli uzalendo ulinishinda nikajikuta naharibu na yule dada. Sikumini nilichokiona kwani yule dada alikuwa hajabanjuliwa na mtu!Yani mi ndo nlikuwa wa kwanza na kobaya zaidi sikuvaa hata buti!Niliregreat sana kile kitendo na skutaka tena kurudia kufanya na yule dada.
Baada ya kama miezi miwili yule demu ananiambia ana ujauzito wangu, na keshawambia wazazi wake kuwa mi ndo muhusika na wazazi wake wananikomalia nimuoe (ye mwislamu mi mkristo). Hapa nilipo nahisi kama nina kiwiliwili bila kichwa, nampenda sana my wife na mwanangu na sitaki hata wife ajue hiyo issue.
Whay should I do?Natamani nikimbie kabisa nisionekane hapa duniani. Tell me jamani nifanyeje?
Yaan wewe umelikoroga kupita maelezo, yakubidi ulinywe tu ndugu yangu. 'Tamaa mbaya' ona sasa imekuponza! Mwambie tu mkeo manake ukisubiri aambiwe na huyo mdada ndio itakuwa balaa zaidi..I dont have the guts to tell that issue to my wife!Tangu tuoane the only thing ambacho huwa anakipinga ni mimi kuzaa nje na mtu wakati tushaoanaa, alishaniuliza before kama nilikuwa na mtoto nikakataa na ni kweli sikuwa nae. Sa ivi kweli nimwambie nina mtoto yuko tumboni au akizaliwa ndo nimwambie!I am afraid she might do something crazy!
wanawake wetu wa kichina ukimuambia issue kama hiyo na yeye atataka alipize kisasi,ndio hapo unapobambikiwa mtoto.Nalog offPole sana bf, ila maji yashamwagika hata ukiyazoa bado hayafai kutumika. Inabidi umlee huyo mtoto wa huyo dada pia usisahau kumwambia mkeo ukweli mapema. Ukweli utakuweka huru!
Kaa chini na mkeo umuombe msamaha kwa hilo kosa ulilolifanya na umuahidi hautorudia tena.
hehehe halaf mwanameka wa mleta sredi yeye amezidisha urembo na kitumbo Dah! bahati nzuri mleta mada tayari ana mtoto nazani anaelewa umuhimu wa kupeleka ukwaju kwa mwanameka katika kipindi hiki cha kichefchef.Hahahahahah lol! Mwanameka kishavunja unyumba kwa Mussa 🙂🙂
maskini ya mungu!! Itakua ya kichina ulikutana na shangingi pori!!pole