Mnisaidie mwenzenu


watu hawakai wakajifunza, eti wakwanza kuboya, hizo kitu zinatengenezwa pale buguruni, zamani ilikuwa elfu tano tu, labda siku izi imefika 10,000. nakushauri hii kesi mpelekee huyo unayemwita rafiki yako naamini atakuwa na ushauri mzuri na wa kujenga kwani anaonekana ni mtu makini sana, hata jinsi alivyo kuunganisha na huyu dada ametumia busara ya hali ya juu
 
Jamani hizo bikira za kichina wanaziwekaje?Lo, wanaume mna kazi ya ziada!
 
Hongera sana mkuu kwa uumbaji! Hivi wakati huyu mdada anakufukuzia hukupata kujua anapoishi? NI mazingira gani ambayo alikuwa akikusumbulia na tangu umfahamu umepita muda gani na alikuwa akikusumbua kivipi mpaka ukajua kakuzimikia na bila kukujua hata anakoishi mpaka mshikaji wako anakupeleka!

Otherwise, hongera sana na kila la kheri!
 
Kaka, ishu kama hizo hutokea aisee..
Nakushaur umwambie huyo mchuchu anaekuzimia kuwa una mke na mtoto, uone atasemaje!.
 
Wonders shall never end, kwa nini usifungue kesi ya kubakwa kiakili?
 
Kila nikijaribu kuitafakari stori ya mwanameka naona kama ni ya kutunga vile!!!
 
Well pole kaka, maji yameshamwagika and there is no going back. Wakati mwingine unatamani hii ingekuwa ndoto lakini siyo. So how do you move forward? Nenda kwa mkeo, nenda KATUBU. Mwambie ukweli, bila kuficha details zozote. Itakuwa ngumu na YES she will hate you so much, she might stay she might go. Mwombe akupe chance nyingine, kukusamehe au kutokusamehewa haina maana yeyote kwa muda huu, kwani cha muhimu ni je mamaa yuko tayari kuku trust tena? Mwambie unamwomba akupe chance ili over time uweze kurudisha trust iliyo iharibu. Na pia kuanzia sasa jifunze kusema NO, na sio no, may be yes. All the best.
 
1: umemega bila kondom,
2: umemmega ukidhani ana bikra(hapo uliingizwa mjini).
3: Uliingizwa mtego wa kijinga(eti nisindikize!)
.... Unastahili kushtakiwa kwa mkeo kwani uh mzembe.
 
rafiki yangu wewe ni mgeni wa mapenzi mimi nakushauri utubu kwa Mungu wako akusamhehe usirudie tena kuunganisha vikojoleo vyeniu,huo mguu wa tatu utakuponza kama kweli unampenda mke wako.

Kumbe huwa wanaunganisha vikoj***o vyao eenh! mmmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…