sijawahi mfahamu huyu baba jamani mara ya kwanza nilimuona youtube nadhani ni last week akihojiwa na dada wa global tv... ilikuwa kama bahati mbaya tu kufungua video yake sababu mi si mtu wa masiasa sifatilii siasa... yani siasa haina nafasi katika maisha yangu ila ile nafungua tu video yake nikajikuta nasema WOW huyu baba ni handsome! sio handsame kihivyo ila ana muonekano wa kigentleman na mawazo yake pia yanaonekana ni ya kigentleman...kwa kifupi nimevutiwa nae...leo kila nikipita huko mitandaoni nakuta mapicha yake ndo kabisaaa moyo wangu umekatika vipande vipande...nikasema kwanini nife na tai shingoni ngoja nikaombe msaada wana jamii forums wanisaidie au labda na yeye ni memba wa humu atasikia kilio changu... haya sasa ndugu zangu mwenye mawasiliano ya huyu baba anipatie nimuelezee hisia zangu au mniambie nitampata vipi?
N.B nataka tu nimuelezee hisia zangu sina mengine
N.B nataka tu nimuelezee hisia zangu sina mengine