Mnisaidie nimetokea kumpenda lawrence masha

ramona

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
174
Reaction score
264
sijawahi mfahamu huyu baba jamani mara ya kwanza nilimuona youtube nadhani ni last week akihojiwa na dada wa global tv... ilikuwa kama bahati mbaya tu kufungua video yake sababu mi si mtu wa masiasa sifatilii siasa... yani siasa haina nafasi katika maisha yangu ila ile nafungua tu video yake nikajikuta nasema WOW huyu baba ni handsome! sio handsame kihivyo ila ana muonekano wa kigentleman na mawazo yake pia yanaonekana ni ya kigentleman...kwa kifupi nimevutiwa nae...leo kila nikipita huko mitandaoni nakuta mapicha yake ndo kabisaaa moyo wangu umekatika vipande vipande...nikasema kwanini nife na tai shingoni ngoja nikaombe msaada wana jamii forums wanisaidie au labda na yeye ni memba wa humu atasikia kilio changu... haya sasa ndugu zangu mwenye mawasiliano ya huyu baba anipatie nimuelezee hisia zangu au mniambie nitampata vipi?

N.B nataka tu nimuelezee hisia zangu sina mengine
 
Lakini anamke .kwani ww hujaolewa ??
 
Ukisha mueleza hisia then ugegedwe sindio
Kazi kwel kwel yaaan unataka wakugegede kirahisi rahis hivyo

VI wonder
 
Weka Picha yako kwanza tuone kama unafit kwenye vigezo vyake.. Maake yeye categosy zake lazima kwanza uwe bright Kichwani na uwe unavutia haswa na uwe na chura ya ukwel ebu weka Picha yako nitakusaidia
 
Reactions: BAK
kweli? kwani kuwa na mke au mume ndo kikwazo cha kutomueleza mtu mwingine hisia zako kwako kwake?
Baada ya kumueleza hisia zako unataka akuingilie kimwili au?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…