Mnisaidie nimetokea kumpenda lawrence masha

Tena kaa mbali na shemeji yangu, mke wake ni shost yangu vibaya mno.
 
Ila wanasema ana kibamia maana mwanaume kukimbia mapambano si mchezo
Je utakivumilia
 
Nashukuru kwa kunipenda ila kwa sasa niko bussy na mambo ya chama
 
Hivi inawezekana msichana akaacha tabia ya kusagana?
Hii tabia ulisha iacha?
 
Dada umejipanga kueneza gono, pambana na maukimwi yako
 
Huyo ni shemeji yangu ana mke na watoto wa3 na anampenda mkewe mfano hakuna..tuliza mshono
Yule mwananke aliyemzidi umri Masha halafu ni Poligon ile mbaya................!!!

MASHA ndio watu walioifilisi TOL Gases share zake hazina gawio mpaka leo........!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…