Xin shan low
Member
- Jun 26, 2025
- 94
- 52
Najisikia hovyo hovyo tu, sasa sijui ndio kuumwa kwenyewe au vipiMkuu kwani una umwa au huumwi?
Kwishaaaaa
Eti eeh, sawa ngoja niendeKapime sehemu nyingine tena
Wanasemaga wadudu wanne au +4Hatunaga kitu kinaitwa malaria 4.... Na hospital zenu za uchochoroni
SawaWaliokwambia una malaria 4 ni wezi na waongo wakubwa. Waliokwambia huna Malaria huenda wako sahihi kwa 100%.
Nenda Public hospitals bro' utapata suluhu nzuri....Eti eeh, sawa ngoja niende
Huko si ndio watasema imepanda kichwani?Nenda Public hospitals bro' utapata suluhu nzuri....
Let me tell you this, waafrica na WA Tanzania tunadharau sana hizo public hospitals ila ukweli unabakia pale pale .... Pamoja na unaoita uzembe sijui kutoka kujali wateja lakini still public hospitals ziko vizuri...Huko si ndio watasema imepanda kichwani?
Kula dawa mkuu ACHA mambo Yako bwanaNajisikia hovyo hovyo tu, sasa sijui ndio kuumwa kwenyewe au vipi
Sawa bwana dakitariKula dawa mkuu ACHA mambo Yako bwana
Kwishaaaa
Asante mkuuFanya kuchemsha mwarobaini kisha kunywa ×3 kwa siku,hauna madhara mti huo.
Kisha angalia hali yako itavyokuwa.
Kama una hangaika kujua kama unaumwa au huumwi basi ongeza hospital ya tatu ukapime.
Kisha analyse matokeo.
Kama hospital 2 zinatoa jibu sawa nawe ukahisi wako sawa basi kunywa dawa.Else kunywa mwarobaini.