Hakuna malaria 1,2,3,4, au 5 mkuu.Nimepima hospitali moja wakasema nina malaria 4,wamenipa dawa, kabla sijameza dawa nikaenda hospitali nyingine kuhakikisha wakasema sina malaria,
Nipo njia panda, nimeze dawa au nisimeze?
Ushauri wenu tafadhali
Mkuu tunakupenda mkuu uwepo WAKO hapa ni muhimu, ukituacha hatuwezi shangilia kama wale, mkuu kula dawa bhana upone UWE swaafi na amani teleeeeeeeeeeeeSawa bwana dakitari
Hii imekaa vizuri, huku vichochoroni wahuni wahuni sanaLet me tell you this, waafrica na WA Tanzania tunadharau sana hizo public hospitals ila ukweli unabakia pale pale .... Pamoja na unaoita uzembe sijui kutoka kujali wateja lakini still public hospitals ziko vizuri...
Aende Hospital akapate huduma ila asiingie uchochoroni humo kwenye vipimo hawachelewi kukupa majibu wanayoyataka wao
Amina mkuuMkuu tunakupenda mkuu uwepo WAKO hapa ni muhimu, ukituacha hatuwezi shangilia kama wale, mkuu kula dawa bhana upone UWE swaafi na amani teleeeeeeeeeeee
Kwishaaaa