wadau,naomba mnishauri,mim ni muajiriwa wa selikali,nataman sana kufanya biashara,mtaji kwangu sio tatizo bas,lkn nakosa biashara ya kufanya,mda mwing nashinda kazini,nilishajaribu biashara tofaut kwa kuwatumia watu wote walinidhurumu ,sasa nifanyeje?,naomba ushauri wadau