Mnishauri Wadau

Mnishauri Wadau

GARETHBALE

Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
76
Reaction score
333
Wadau,

Naomba mnishauri, mimi ni muajiriwa wa selikali, natamani sana kufanya biashara, mtaji kwangu sio tatizo basi, lakini nakosa biashara ya kufanya, mda mwingi nashinda kazini, nilishajaribu biashara tofauti kwa kuwatumia watu wote walinidhurumu, sasa nifanyeje?

Naomba ushauri wadau.
 
wadau,naomba mnishauri,mim ni muajiriwa wa selikali,nataman sana kufanya biashara,mtaji kwangu sio tatizo bas,lkn nakosa biashara ya kufanya,mda mwing nashinda kazini,nilishajaribu biashara tofaut kwa kuwatumia watu wote walinidhurumu ,sasa nifanyeje?,naomba ushauri wadau

Kama una mtaji fanya kilimo.
 
Back
Top Bottom