Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
- Thread starter
-
- #21
Unakusudia nifungue A/c nyingine ya JF au vp?We ongeza ID mpya hakuna shida mkuu.
Asante nduguSawa karibu mgeni kwake sebuleni ukikaa sana utayajua mazingira so usiwe na shaka
Haha kumbe! Nilidhani niko pekeanguTuko wengi kumbe
Nadhani wazoefu na wajuzi watatupa elimu maana mie mwenyewe sijui lolotenini kipimo cha kuwa great thinker..?
"Hujui lolote"!!!!Nadhani wazoefu na wajuzi watatupa elimu maana mie mwenyewe sijui lolote
Yap!"Hujui lolote"!!!!
nini kipimo cha kutokujua lolote..?Yap!
hapa hakuna mgeni hapa,Anza kwanza kutoa Tafsir ya Amadoli,ukimaliza hyo Tupe ya Pombe Magufuli af Malizia ya Mizengo Pinda kisha na mm nitaleta ya Tumpara Dudu.
[HASHTAG]#SAMAHANI[/HASHTAG] KWA USUMBUFU UTAKAOUPATA NDUGU#
Iyohapa hakuna mgeni hapa,
kama una kamba mguuni tuonyeshe!!!
Makinika mkuunini kipimo cha kutokujua lolote..?
sawaNdugu zangu,nimehangaika kitambo sana kuwa member wa JF lkn nashukuru wiki hii nimefanikiwa. Mm bado ni mgeni na sijajuwa vizuri kulitumia jukwaa hili hivyo nikipost kitu kisichohusika humu mnielimishe kwa njia nzuri bila ya matusi wala kashfa. Sijajua hata PM inamaana gan na naipata vip ila nabahatisha tu. Kuna ukumbi unaitwa Great thinker naupenda sana lkn siruhusiki kupost wala ku comment chochote sijui kwann?
Natumai mtanipa ushirikiano wenu,Asanteni na mbarikiwe nyote.
Hujui lolote halafu unataka uingie jukwaa la GT?? Interesting and PatheticNadhani wazoefu na wajuzi watatupa elimu maana mie mwenyewe sijui lolote
Jina gan hilo halisi walililikataa hawa jamaaaHlo ndo jina maarufu kazini na hata kijiweni mkuu. Af Katk registration Jamii Forum walilikataa jina langu halisi ndo nikabandika hilo
Naomba elimu jinsi ya kutumaJukwaa La Great thinkers mpaka utume maombi ya kuungwa kule sio unaingia kichwakichwa tu
unawatumia email kwenda support@jamiiforums.comNaomba elimu jinsi ya kutuma