Mnivumilie bado mgeni humu JF

Mnivumilie bado mgeni humu JF

nini kipimo cha kuwa great thinker..?
 
Anza kwanza kutoa Tafsir ya Amadoli,ukimaliza hyo Tupe ya Pombe Magufuli af Malizia ya Mizengo Pinda kisha na mm nitaleta ya Tumpara Dudu.

[HASHTAG]#SAMAHANI[/HASHTAG] KWA USUMBUFU UTAKAOUPATA NDUGU#
hapa hakuna mgeni hapa,
kama una kamba mguuni tuonyeshe!!!
 
Ndugu zangu,nimehangaika kitambo sana kuwa member wa JF lkn nashukuru wiki hii nimefanikiwa. Mm bado ni mgeni na sijajuwa vizuri kulitumia jukwaa hili hivyo nikipost kitu kisichohusika humu mnielimishe kwa njia nzuri bila ya matusi wala kashfa. Sijajua hata PM inamaana gan na naipata vip ila nabahatisha tu. Kuna ukumbi unaitwa Great thinker naupenda sana lkn siruhusiki kupost wala ku comment chochote sijui kwann?

Natumai mtanipa ushirikiano wenu,Asanteni na mbarikiwe nyote.
sawa
 
Jukwaa La Great thinkers mpaka utume maombi ya kuungwa kule sio unaingia kichwakichwa tu
 
Back
Top Bottom