Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
- Thread starter
- #21
Na wewe umemuibia toka wapi huyo dada?
Jolly...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umemuibia toka wapi huyo dada?
comments nyengine humu ni za kudhalilisha wanawake .........
.......hapana za kusifia.....comments nyengine humu ni za kudhalilisha wanawake .........
.......hapana za kusifia.....
kusifia ni kuuliza butcher ?
Mbona nasi twaitwa 'mabuzi' hatulalamiki kudhalilishwa? au mbuzi hauzwi buchani?
lalamika ukipenda ...............:]
ila kumfananisha mwanamke specific kuwa sawa na nyama inayouzwa dukani ni kumdhalilisha.
Mtazamo wako....wengine si hivo...kwa kuwa mwanamke huliwa ndio maana anafananishwa na mnofu...na mwanaume aliwaye hufananishwa na ubwawa...no big deal