Fredrick96
New Member
- Jun 21, 2023
- 3
- 3
Wadau nahitaji kufahamu je mwanafunzi ambae alipata mkopo heslb akadisc chuo anawezaj kupata mkopo mwingne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafanyaje kupata tenaNdio anaweza
Anafanyaje kupata tena
Kudisco ni kutokua serious na masomo?Mkiwa shule mkaambiwa muwe serious,mnajifanya wajanja Aya sasa
Ww alikwambia kudisco nikutokuwa seriously NaniMkiwa shule mkaambiwa muwe serious,mnajifanya wajanja Aya sasa
Kwenye andiko langu sija zungumzia ku discontinueWw alikwambia kudisco nikutokuwa seriously Nani
zari❎ujalibu-ujaribu
alafu-halafu
dhari-zari
ahsante kwa kunielimisha mkuu elimu haina mwishozari❎
zali✅