Wakuu.
Jana limetoka tangazo mara la kuruhusu watanzania kuuza mahindi nchi za nje. Mkumbuke mnunuzi mkuu wa mahindi ya Tanzania ni Kenya na kwa msimu huu Zambia kazalisha mahindi mengi mno na anauza Kenya kwa bei ndogo, mlizuia kumuumiza mkulima na bado hamjengi uhusiano mzuri kibiashara na huyo Kenya , jirekebisheni serikali haikuwapo sababu ya zuio.