Mnunuzi mkubwa wa mahindi ya Tanzania ni Kenya, msimu huu Zambia wamevuna wanauza Kenya

Mnunuzi mkubwa wa mahindi ya Tanzania ni Kenya, msimu huu Zambia wamevuna wanauza Kenya

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wakuu.
Jana limetoka tangazo mara la kuruhusu watanzania kuuza mahindi nchi za nje. Mkumbuke mnunuzi mkuu wa mahindi ya Tanzania ni Kenya na kwa msimu huu Zambia kazalisha mahindi mengi mno na anauza Kenya kwa bei ndogo, mlizuia kumuumiza mkulima na bado hamjengi uhusiano mzuri kibiashara na huyo Kenya , jirekebisheni serikali haikuwapo sababu ya zuio.
 
Hiyo ruhusa haina maana kwa mkulima wa Tanzania.
 
Wakuu.
Jana limetoka tangazo mara la kuruhusu watanzania kuuza mahindi nchi za nje , mkumbuke mnunuzi mkuu wa mahindi ya Tanzania ni kenya na kwa msimu huu zambia kazalisha mahindi mengi mno na anauza kenya kwa bei ndogo, mlizuia kumuumiza mkulima na bado hamjengi uhusiano mzuri kibiashara na huyo kenya , jirekebisheni serikali haikuapo sababu ya zuio.

Nani kakudanganya wewe? wakulima waumize vichwa kutafuta masoko. Msitegemee sehemu moja kama mmekuwa robots. Ndio maana ncho hii haiendelei. Hatutaki kabisa kujisumbua kufikiria.
 
Nani kakudanganya wewe? wakulima waumize vichwa kutafuta masoko. Msitegemee sehemu moja kama mmekuwa robots. Ndio maana ncho hii haiendelei. Hatutaki kabisa kujisumbua kufikiria.
Ushawahi kuuza mahindi? Au kuna soko unalifahamu la mahindi ya Tanzania tofauti na kenya?
 
Wakuu.
Jana limetoka tangazo mara la kuruhusu watanzania kuuza mahindi nchi za nje. Mkumbuke mnunuzi mkuu wa mahindi ya Tanzania ni Kenya na kwa msimu huu Zambia kazalisha mahindi mengi mno na anauza Kenya kwa bei ndogo, mlizuia kumuumiza mkulima na bado hamjengi uhusiano mzuri kibiashara na huyo Kenya , jirekebisheni serikali haikuwapo sababu ya zuio.
Mkuu aise Zambia wanalima sana nakumbuka kwenye mwezi wa 10 nilikua kule nilijionea mpaka wanakosa masoko ila lilinshangaza ni serikali kukataza mahindi Yale kupenya nchini kwetu.Nilikua na CIO Mmoja akagoma kunambia ni kwanini walizuia nadhani hiyo ingekua fursa nzuri ya nchi kupata chakula cha akiba ktk hifadhi yetu.Debe la mahindi bei ilikua ni Tsh 5000
 
ZAMBIA ANAUZA KENYA TANGU ZAMANI,SHIDA ILIYOKUWEPO ILIKUA LAZIMA ATUMIE TAZARA AU TANROAD KUTOKA ZAMBIA KWENDA KENYA NA HAPO INABID ALIPE CHAJI.AU NJIA MBADALA NI KUTUMIA NDEGE TOKA ZAMBIA KWENDA KENYA.
KATAZO LILIKUWA NA SABABU MBILI,YA KWANZA ILIKUWA TUMETOKA KWENYE NJAA NA HATUJUI MSIMU UKO VIPI LAZIMA TUJIHAMI,SABABU YA PILI ILIKUWA DIPLOMASIA YA KIUCHUMI,KUZUIA UNGA WA TANZANIA KWENDA KENYA NA KUKUBALI MAHINDI YA TANZANIA.
KUKATAA MAZIWA YETU YA KWENYE PAKTI ILA KUTAKA MAZIWA YA WAKULIMA WA MPAKANI KWA KIGEZO CHA M,AZIWA YETU NA UNGA WETU UNAUZWA BEI YA CHINI UNGEENDA KUWATIA HASARA WAWEKEZAJI WA KENYE KWENYE SEKTA HUSIKA

Wakuu.
Jana limetoka tangazo mara la kuruhusu watanzania kuuza mahindi nchi za nje. Mkumbuke mnunuzi mkuu wa mahindi ya Tanzania ni Kenya na kwa msimu huu Zambia kazalisha mahindi mengi mno na anauza Kenya kwa bei ndogo, mlizuia kumuumiza mkulima na bado hamjengi uhusiano mzuri kibiashara na huyo Kenya , jirekebisheni serikali haikuwapo sababu ya zuio.
 
KUNA HAJA YA TANZANIA KUTAFUTA SOKO NJE YA KENYA NA PIA KUZALISHA BIDHAA ZENYE UBORA,KUWEKA MITAZAMO YETU WOTE KWENYE SOKO MOJA NI AKILI NDOGO SIYO YA KIJASILIAMALI.
KUENDELEA KUUZA MALIGHAFI BADALA YA BIDHAA NI KUPUNGUZA MNYORORO WA THAMANI NA UTUMWA WA KIUCHUMI KWA KUWA MALIGHAFI NYINGI HAZIWEZI HIFADHIKA KWA MUDA MREFU.HIVYO UKAME KIDOGO NJAA
 
Back
Top Bottom