Wakuu.
Jana limetoka tangazo mara la kuruhusu watanzania kuuza mahindi nchi za nje , mkumbuke mnunuzi mkuu wa mahindi ya Tanzania ni kenya na kwa msimu huu zambia kazalisha mahindi mengi mno na anauza kenya kwa bei ndogo, mlizuia kumuumiza mkulima na bado hamjengi uhusiano mzuri kibiashara na huyo kenya , jirekebisheni serikali haikuapo sababu ya zuio.
Ushawahi kuuza mahindi? Au kuna soko unalifahamu la mahindi ya Tanzania tofauti na kenya?Nani kakudanganya wewe? wakulima waumize vichwa kutafuta masoko. Msitegemee sehemu moja kama mmekuwa robots. Ndio maana ncho hii haiendelei. Hatutaki kabisa kujisumbua kufikiria.
Kwahiyo bora wazuie tena?Hiyo ruhusa haina maana kwa mkulima wa Tanzania.
Waendelee kuzuia kwani inafaida ipi watu washapata hasaraKwahiyo bora wazuie tena?
Una mahindi kiasi gani umejifadhi?Waendelee kuzuia kwani inafaida ipi watu washapata hasara
Mkuu aise Zambia wanalima sana nakumbuka kwenye mwezi wa 10 nilikua kule nilijionea mpaka wanakosa masoko ila lilinshangaza ni serikali kukataza mahindi Yale kupenya nchini kwetu.Nilikua na CIO Mmoja akagoma kunambia ni kwanini walizuia nadhani hiyo ingekua fursa nzuri ya nchi kupata chakula cha akiba ktk hifadhi yetu.Debe la mahindi bei ilikua ni Tsh 5000Wakuu.
Jana limetoka tangazo mara la kuruhusu watanzania kuuza mahindi nchi za nje. Mkumbuke mnunuzi mkuu wa mahindi ya Tanzania ni Kenya na kwa msimu huu Zambia kazalisha mahindi mengi mno na anauza Kenya kwa bei ndogo, mlizuia kumuumiza mkulima na bado hamjengi uhusiano mzuri kibiashara na huyo Kenya , jirekebisheni serikali haikuwapo sababu ya zuio.