Kwa hiyo unakubali kuwa Yanga ni dhaifu mbele ya Mnyama?mmekutana na Yanga dhaifu..fullback kale katoto...
Nanyie mwambie kocha wenu ache kutoa mafunzo ya kushika shika ,sio lede yawanawake ileKaka umezinduka? Mwambie na kocha wenu aache kutoa mafunzo ya ubondia kwa wachezaji wenu.
Nasikia Manara juzi alikuwa anasoma gazeti pale uwanja wa Taifa, hana wasi wasi hata kidogo. Hii ni dharau kubwa sana kwa Yanga [emoji23][emoji23][emoji23]
Teh nyie nendeni kambi hata mars mkirudi yaleyale tuKama madereva tax wa Uturuki wanatufanya tunagonga mipasi zaidi ya 2341.. Sasa tukicheza na waendesha Boda Boda wa Spain itakuaje? Hahaha.. Mjiandae kambi ijayo tutakua Spain.
Yaani timu yetu ipo na hali mbaya ila bado mmebugi nyie kweli mikiaHahaha.. Mkuu msije tu mkakimbia uwanja.
Kwani Tambwe na Kamusoko bado ni wachezaji tegemeo? Hebu kuwa mkweli mkuu, Kamusoko kacheza mechi ngapi kati 5 tulizocheza. Angalia wale tunaotumia na umri wao alafu ukafute hiyo comment yako.Hivi Mkuu, Tambwe na Kamusoko wana umri gani?
Na mkashindwa kuifunga, puuua mkia....huu msimu tunabeba kama kawaida tulipumzika tu kukusanya nguvu za kushangilia kombe maana tulilibeba hadi tukakinai.....hukuona hata ile misimu tunabeba tulikua tunanyanyua kombe hata kama timu letu lipo ovyo kiasi ganiNaona umekiri mwenyewe kua kwa sasa mna timu mbovu kupitilizia.. Sawa tukutane mwisho wa ligi na hilo litimu lenu.