Mnyama Akiwa Mapumzikoni.. Wafuatao Kuendelea Kukinukisha.

Mnyama Akiwa Mapumzikoni.. Wafuatao Kuendelea Kukinukisha.

Nasikia Manara juzi alikuwa anasoma gazeti pale uwanja wa Taifa, hana wasi wasi hata kidogo. Hii ni dharau kubwa sana kwa Yanga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mrudi mkacheze na madereva tax tena uturuki

Kama madereva tax wa Uturuki wanatufanya tunagonga mipasi zaidi ya 2341.. Sasa tukicheza na waendesha Boda Boda wa Spain itakuaje? Hahaha.. Mjiandae kambi ijayo tutakua Spain.
 
Hii trend Nomba isije kufutwaa,kwani tuko wengi sana humu
 
Kaka umezinduka? Mwambie na kocha wenu aache kutoa mafunzo ya ubondia kwa wachezaji wenu.
Nanyie mwambie kocha wenu ache kutoa mafunzo ya kushika shika ,sio lede yawanawake ile
 
Nasikia Manara juzi alikuwa anasoma gazeti pale uwanja wa Taifa, hana wasi wasi hata kidogo. Hii ni dharau kubwa sana kwa Yanga [emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha.. Mkuu si Manara pekee.. Jana Manala kakabidhiwa barua toka TFF akitakiwa ajieleze kwann alikua akisoma gazeti katika kipindi cha pili.
 
Hivi Mkuu, Tambwe na Kamusoko wana umri gani?
Kwani Tambwe na Kamusoko bado ni wachezaji tegemeo? Hebu kuwa mkweli mkuu, Kamusoko kacheza mechi ngapi kati 5 tulizocheza. Angalia wale tunaotumia na umri wao alafu ukafute hiyo comment yako.
 
Yo
Kwani Tambwe na Kamusoko bado ni wachezaji tegemeo? Hebu kuwa mkweli mkuu, Kamusoko kacheza mechi ngapi kati 5 tulizocheza. Angalia wale tunaotumia na umri wao alafu ukafute hiyo comment yako.
Vipi kuhusu Yondani na Ngassa?
 
Yaani timu yetu ipo na hali mbaya ila bado mmebugi nyie kweli mikia
Naona umekiri mwenyewe kua kwa sasa mna timu mbovu kupitilizia.. Sawa tukutane mwisho wa ligi na hilo litimu lenu.
 
Naona umekiri mwenyewe kua kwa sasa mna timu mbovu kupitilizia.. Sawa tukutane mwisho wa ligi na hilo litimu lenu.
Na mkashindwa kuifunga, puuua mkia....huu msimu tunabeba kama kawaida tulipumzika tu kukusanya nguvu za kushangilia kombe maana tulilibeba hadi tukakinai.....hukuona hata ile misimu tunabeba tulikua tunanyanyua kombe hata kama timu letu lipo ovyo kiasi gani
 
Back
Top Bottom