Mnyama gani anafaa rasmi kwendana na timu ya Yanga?

Moja ya AGM walimpitisha Chura
Mimi ni yanga ila chura anatupendeza sana na ukiangulia the way akili zetu zilivyo chura anatufaa 100%

Chura linampendeza mnoooo....au nyoka basi maana kwa fitna tuu hawajambo...
CHURA, ILA ALIYEKATWA MGUU.

Yaani ni briiii...briiii...griiiii!
Ndugu zetu wako nje ya muda sana, tujaribu kuwasaidia watoke usingizini. Imagine mpaka leo wanatumia logo ile yenye wacheza mdako na waruka kamba. Hersi ana kazi kubwa saaana
 
Simba
 
Naona kuna mods watakuwa ni Utopolo, wameondoa list yangu. Kwenye Poll niliweka:
1. Chura
2. Bata
3. Nyoka
4. Kenge
5. Paka
6. Sungura
7. Fisi
8. Mbwa Mwitu
9. Nyani
10. Mwingine......
Huyo chura atakuwa ni mangungu.
 
Binadamu mwenye akili timamu, unaanzaje kujiita jina la mnyama!! Huu si uwendawazimu wa wazi kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…