mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 218
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji28][emoji41]Muulize Kinana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muulize Kinana.
hanikuti aisee hata afanyajeKuna jamii tatu za tambo.
Africa savannah, African forest na tembo wa Asia.
Unaweza watofautisha kwakuangalia masikio yao. African savannah na africa forest masiko yao ni kama ramani ya bara la africa vile lakini pia makubwa zaidi ya tembo wa Asia. Kwa upande mwingine tembo wa Asia masikio yako yanafanana na india-subcontinent.
Tembo hasahau. Anahitaji memory kubwa kukumbuka vyanzo vya maji, chakula, kufahamu maadui/marafiki. Pia sehemu ya ubongo inayohusu kumbukumbu temporal lobe ni kubwa zaidi ya binadamu, hiyo inamfanya awe na kumbukumbu ajabu.
Tembo anatumia 3/4 ya maisha yake kula. Anahitaji 150kg hivi za msosi kila siku.
Usimchokoze tembo, akianza kukukimbiza atakukamata dak chache tu.
Tembo anaishi miaka 65 porini na 80 akiwa kwenye captivity