Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 Sep 19, 2015 #21 LIKE Niku ADD said: ndo ivo Click to expand... Ila nyie watu mna mambo ya hovyo sana... Una quote mada yote hiyo halafu unaandika "ndio hivyo",maana yake nini? Ungeandika tu bila ku quote mada yote usingeeleweka? Mnasababisha usumbufu usiohitajika kwa wanaotumia simu .....
LIKE Niku ADD said: ndo ivo Click to expand... Ila nyie watu mna mambo ya hovyo sana... Una quote mada yote hiyo halafu unaandika "ndio hivyo",maana yake nini? Ungeandika tu bila ku quote mada yote usingeeleweka? Mnasababisha usumbufu usiohitajika kwa wanaotumia simu .....
MLALUKO JR JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 962 Reaction score 309 Sep 19, 2015 #22 mmmmh!!tafakuri tata hii ila M/MUNGU hajawahi kukosea.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Sep 19, 2015 #23 MLALUKO JR said: mmmmh!!tafakuri tata hii ila M/MUNGU hajawahi kukosea. Click to expand... Nimeuliza, una uhakika mungu yupo? Sijapata jibu.
MLALUKO JR said: mmmmh!!tafakuri tata hii ila M/MUNGU hajawahi kukosea. Click to expand... Nimeuliza, una uhakika mungu yupo? Sijapata jibu.