Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
ndo ivo
Ila nyie watu mna mambo ya hovyo sana...
Una quote mada yote hiyo halafu unaandika "ndio hivyo",maana yake nini?
Ungeandika tu bila ku quote mada yote usingeeleweka?
Mnasababisha usumbufu usiohitajika kwa wanaotumia simu .....